Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 18,653
- 31,010
- Thread starter
-
- #61
Ukimpenda Halima kanye naye chai.Gwajima na mataga mtabaki midomo wazi mapema sana kabla ibada ya kwanza haijatoka 🤣
Unauliza jibu?Kabla ya kuingia halima mdee kawe mbunge wa kawe alikuwa anatoka chama gan??? Hivi wapinzani wakiingia kwenye majimbo ndiyo maendeleo yanaondoka?? Kwa ufupi huo ni ufinyu wa kufikiri kabisa kwa kudhan mbunge kupitia ccm akiingia jimboni ndo utapata maendeleo. Kazi yetu ni kusikiliza sera na kuchagua mtu sahihi kabisa kwa mustakabali wa wapiga kura. Lakin kwa kawe kumchagua huyu mcheza ngoma ni kujidanganya kabisa. Hili nalisema leo lakin kumbukeni mtakuja humu humu tena kulalamika
ameshindwa nn na wenye mamlaka ni nyie mnaojenga chato withno reasons na kuyatenga maeneo yenye uhitaji wa msingiAnatakiwa tuchague mtu anayeelewa.
Halima mashindwa.
Jibu lako halina mashiko.ameshindwa nn na wenye mamlaka ni nyie mnaojenga chato withno reasons na kuyatenga maeneo yenye uhitaji wa msingi
Kwa miaka 10 aliyokaa Halima Mdee kuwakilisha jimbo la Kawe, maendeleo ya miundombinu ya kijamii ni kama hakuna.
Barabara chache sana za kuunganisha maeneo zimejengwa.
Nimeishi jimbo ka Kawezaidi ya miaka 20 baada ya kuhamia huku toka Temeke, hali ya Kawe inatisha.
Tunahisi Mdee aidha hawezi kazi yake kushawishi serikali kuleta hayo maendeleo muhimu ya miundombinu ya barabara, au tu kwamba hafai.
Kwa muda wote huo sijamwona huku mitaani akipita kusikiliza kero kubwa za wananchi hususan barabara.
Huwa narudi Temeke, Tandika na Kijichi na huwezi kuamini.
Barabara mpya maeneo hayo ni zaidi ya kilometa 100, na zinapita hadi uchochotoni.
Tatizo lipo kwa muwakilishi wetu, Halima Mdee.
Tusichague vyama tuchaguemtu awezaye kuleta maendeleo ya barabara.
Watu wasichague kwa mazoea, chagua Gwajima tupate mabadiliko na maendeleo.
Hata waliomchagua Trump si kwamba wanampenda, wamemchagua kwa maslahi ya maendeleo yao.
Wana Kawe tuwe strategic, chagua Gwajima.
Kwa nini tule makombo wakati kitu halisi, Gwajima anayeweza kuleta maendeleo yupo?Ni kwasababu serikali ya CCM haitaki kupeleka maendeleo kwenye jimbo la mpinzani. Lakini wananchi hawatatishwa na hili.
Kwa nini tule makombo wakati kitu halisi, Gwajima anayeweza kuleta maendeleo yupo?
Kwa miaka 10 aliyokaa Halima Mdee kuwakilisha jimbo la Kawe, maendeleo ya miundombinu ya kijamii ni kama hakuna.
Barabara chache sana za kuunganisha maeneo zimejengwa.
Nimeishi jimbo ka Kawezaidi ya miaka 20 baada ya kuhamia huku toka Temeke, hali ya Kawe inatisha.
Tunahisi Mdee aidha hawezi kazi yake kushawishi serikali kuleta hayo maendeleo muhimu ya miundombinu ya barabara, au tu kwamba hafai.
Kwa muda wote huo sijamwona huku mitaani akipita kusikiliza kero kubwa za wananchi hususan barabara.
Huwa narudi Temeke, Tandika na Kijichi na huwezi kuamini.
Barabara mpya maeneo hayo ni zaidi ya kilometa 100, na zinapita hadi uchochotoni.
Tatizo lipo kwa muwakilishi wetu, Halima Mdee.
Tusichague vyama tuchaguemtu awezaye kuleta maendeleo ya barabara.
Watu wasichague kwa mazoea, chagua Gwajima tupate mabadiliko na maendeleo.
Hata waliomchagua Trump si kwamba wanampenda, wamemchagua kwa maslahi ya maendeleo yao.
Wana Kawe tuwe strategic, chagua Gwajima.
Waidhinishaji miradi karibu wote wanaishi Oysterbay.Barabara karibu zote katika maeneo ya Oyster-bay, Masaki, Msasani na Mikocheni ambayo yako katika jimbo la Kawe zina lami.
Barabara karibu zote katika majimbo ya Segerea, Ukonga na Kigamboni ambayo yalikuwa na wabunge wa CCM ni mbuvu; zimejaa mahandaki.
Unasemaje hapo?
Kwa miaka 10 aliyokaa Halima Mdee kuwakilisha jimbo la Kawe, maendeleo ya miundombinu ya kijamii ni kama hakuna.
Barabara chache sana za kuunganisha maeneo zimejengwa.
Nimeishi jimbo ka Kawezaidi ya miaka 20 baada ya kuhamia huku toka Temeke, hali ya Kawe inatisha.
Tunahisi Mdee aidha hawezi kazi yake kushawishi serikali kuleta hayo maendeleo muhimu ya miundombinu ya barabara, au tu kwamba hafai.
Kwa muda wote huo sijamwona huku mitaani akipita kusikiliza kero kubwa za wananchi hususan barabara.
Huwa narudi Temeke, Tandika na Kijichi na huwezi kuamini.
Barabara mpya maeneo hayo ni zaidi ya kilometa 100, na zinapita hadi uchochotoni.
Tatizo lipo kwa muwakilishi wetu, Halima Mdee.
Tusichague vyama tuchaguemtu awezaye kuleta maendeleo ya barabara.
Watu wasichague kwa mazoea, chagua Gwajima tupate mabadiliko na maendeleo.
Hata waliomchagua Trump si kwamba wanampenda, wamemchagua kwa maslahi ya maendeleo yao.
Wana Kawe tuwe strategic, chagua Gwajima.
Kawaambie hivyowana Kawe, Halima ameshindwa kuiamsha Serikali jimboni Kawe.Gwajima nina uhakika ataiamsha Serikali.
Waidhinishaji miradi karibu wote wanaishi Oysterbay.
Sisi masikini tunahitaji mbunge shupavu anayeweza kuwashawishi watuone na sisi wavuja jasho.
Kazi hiyo kwa miaka 10 Halima ameshindwa kuwashawishi Wakubwa watujengee barabara Kawe.
Halima hawezi kazi na kachoka, you cannot teach an old dog new tricks.
We jamaa wa ajabu sana, unaniambia majimbo ambayo yanaendeshwa na ccm hivi zinakutosha kweli? Wabunge mmewanunua. Kazi yenu ni kurubuni wabunge wa upinzani na kuwanunua. Hao wanaitwa wabunge nusu upinzani na nusu ccm hawana maana kwa wananchiUnauliza jibu?
Nenda Temeke, Tandika na Kijichi uone wabunge wenziwe wamefanya nini kwa kushirikiana na serikali.
Hayo ni maisha yake binafsi.Gwajima huyu-huyu muigizaji wa sinema za ngono?
Ukisha rikodi haiwi faraha tena hiyo!Hayo ni maisha yake binafsi.
Raisi wako Lissu anapigania uhuru wa faragha.
Au humuelewi?
Faragha Gwajima haitaki ndiyo maana alijirekodi video akitafuna kondoo na kusambaza mitandaoni.Hayo ni maisha yake binafsi.
Raisi wako Lissu anapigania uhuru wa faragha.
Au humuelewi?
Heri hata Gwajima.Huyo Gwajima hafai, hata mbuzi wa kawe hawamtaki. Kama huamini check hii clip hapa chini.
https://www.jamiiforums.com/data/attachment-files/2020/09/2523833_VID-20200919-WA0131.mp4
Mkimpenda Halima kanyweni naye chai.Mkuu Askofu kwanza ajenge Kanisa la waumini wake. Charity starts at home 😎
Vipi uko tayari kupanda Train ya Gwajima kuelekea Airport kwa ajili ya safari ya Birmingham? Au bado?
Mama Tanzania ataendelea kuwepo tuu hata baada ya uchaguzi...tupendane na kuheshimiana.
Pamoja sana!