Lord Denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 23,491
- 57,973
Mie Sina hoja au wewe huna hoja??? Hivi kama wewe ni mtanzania mwenye akili timamu unaweza ukauliza humu mtandaoni juu ya hoja makini za Halima Mdee???? Hata mtoto wa form 4 tu atakuonyesha!!Huna hoja, maswali yangu yako nje ya uwezo wa ubongo wako.Sasa rasimi nimekupuuza.Subiri zile hoja mserereko za nyumbu wenzako,userereke nazo.
Ok, hayo majimbo yapo tangu day one ya utawala wa CCM. Na yapo yenye hali mbaya kabisa... unapomsema Halima wakati yapo majimbo MENGI sana ya CCM tangu kuundwa kwake na hayana maendelo unayoyataka kutuamisha na UJINGA TU... Kauli ya Rais aliyoisema ambayo unashindwa namna ya kuikana haiwezi pita bila kuitaja...Weweeh, hiyo usiifanye kuwa Chaka la kifichia upumbavu wa Halima yapo majimbo mengi tu yenye upinzani na maendeleo yanaonekana.
Haya na ile mitano mingine kabla Mkulu hajaingia Madarakani alifanya Nini?
Usiwe na akili ya kuku.Gwajima na mamilioni yote anayokusanya kwa ghiriba na wizi kupitia dini na kuuza poda ameshindwa kujenga kabisa ataweza kujenga barabara mkuu?
Ameulizwa tu swali na muuza kahawa huwezi kujibu ataweza hata kusoma makabrasha bungeni yule?
Tukimchagua madrasa wanazosoma watoto wetu itakuwa Sunday schools hatutaki hatutaki
Huyo huyo ataleleza matatizo ya wana Kawe kunakohusika, si huyu Halima ambaye ana mapenzi na kuwekwa ndani na kula bure huko!!Huyuhuyu Mla Kondoo!!!
Mbona kwa Mbowe barabara ya km 11 ilijengwa?Umesahau mkulu wetu alisema nini kule kwa Bwege na kule Musoma..!? Hapeleki maendeleo kwa wapinzani...
Hilo domo lingeweza kushawishi serikali ,barabara zijengwe Kawe ningempa kura.Mie Sina hoja au wewe huna hoja??? Hivi kama wewe ni mtanzania mwenye akili timamu unaweza ukauliza humu mtandaoni juu ya hoja makini za Halima Mdee???? Hata mtoto wa form 4 tu atakuonyesha!!
Mnapewa bundle za bure za kina pole pole mje kuharibu mijadala ya maana humu mnafiriki sie hatujui???
Kwa kukusaidia wewe kilaza wa Lumumba muone mbunge makini huyo hapo
Hatakaa amsahau huyu mzeeGwajima huyu-huyu muigizaji wa sinema za ngono?
Kwa miaka 10 aliyokaa Halima Mdee kuwakilisha jimbo la Kawe, maendeleo ya miundombinu ya kijamii ni kama hakuna.
Barabara chache sana za kuunganisha maeneo zimejengwa.
Nimeishi jimbo ka Kawezaidi ya miaka 20 baada ya kuhamia huku toka Temeke, hali ya Kawe inatisha.
Tunahisi Mdee aidha hawezi kazi yake kushawishi serikali kuleta hayo maendeleo muhimu ya miundombinu ya barabara, au tu kwamba hafai.
Kwa muda wote huo sijamwona huku mitaani akipita kusikiliza kero kubwa za wananchi hususan barabara.
Huwa narudi Temeke, Tandika na Kijichi na huwezi kuamini.
Barabara mpya maeneo hayo ni zaidi ya kilometa 100, na zinapita hadi uchochotoni.
Tatizo lipo kwa muwakilishi wetu, Halima Mdee.
Tusichague vyama tuchaguemtu awezaye kuleta maendeleo ya barabara.
Watu wasichague kwa mazoea, chagua Gwajima tupate mabadiliko na maendeleo.
Hata waliomchagua Trump si kwamba wanampenda, wamemchagua kwa maslahi ya maendeleo yao.
Wana Kawe tuwe strategic, chagua Gwajima.
Kongwa Kuna mbunge wa Ccm ambaye ni spika kashawishi nini???Hilo domo lingeweza kushawishi serikali ,barabara zijengwe Kawe ningempa kura.
Lakini sasa ni debe tupu hilo!
MAENDELEO ni kodi zetuKwa miaka 10 aliyokaa Halima Mdee kuwakilisha jimbo la Kawe, maendeleo ya miundombinu ya kijamii ni kama hakuna.
Barabara chache sana za kuunganisha maeneo zimejengwa.
Nimeishi jimbo ka Kawezaidi ya miaka 20 baada ya kuhamia huku toka Temeke, hali ya Kawe inatisha.
Tunahisi Mdee aidha hawezi kazi yake kushawishi serikali kuleta hayo maendeleo muhimu ya miundombinu ya barabara, au tu kwamba hafai.
Kwa muda wote huo sijamwona huku mitaani akipita kusikiliza kero kubwa za wananchi hususan barabara.
Huwa narudi Temeke, Tandika na Kijichi na huwezi kuamini.
Barabara mpya maeneo hayo ni zaidi ya kilometa 100, na zinapita hadi uchochotoni.
Tatizo lipo kwa muwakilishi wetu, Halima Mdee.
Tusichague vyama tuchaguemtu awezaye kuleta maendeleo ya barabara.
Watu wasichague kwa mazoea, chagua Gwajima tupate mabadiliko na maendeleo.
Hata waliomchagua Trump si kwamba wanampenda, wamemchagua kwa maslahi ya maendeleo yao.
Wana Kawe tuwe strategic, chagua Gwajima.
Mkuu nikifikiri uko vizuri upstairs!Ushamba mzigo tangu lini Mbunge akajenga Barabara ?.Serekali ya Magufuli ndio yenye uwezo wa kujenga barabara kwasababu inakusanya kodi.
Ulizia huko utaambiwa, mimi siko Kongwa niko Kawe!Kongwa Kuna mbunge wa Ccm ambaye ni spika kashawishi nini???
Hata ng'ombe tasa huchinjwa watu wale nyama.MAENDELEO ni kodi zetu
Hazikusanywi kwa kadi za vyama vyetu
Tusipewe kwa rangi zetu
Kuchaguliwa/kuchagua ni haki yetu
Kodi ni pesa ya watanzania wote
Wasipochagua chama chako usiwachukie
Wasipokupenda, wakikukosoa, usiwakasirikie
Wanalipa kodi, wapewe maendeleo, Usiwafokee
Ingekuwa ni hivyo majimbo mengi ya mikoa ya dodoma, Tanga, shinyanga, yangekuwa kama ulaya, kwani miaka mingi sana, mengine toka uhuru yapo chini ya CCM,lakini hadi leo huduma za msingi tu kama maji safi na salama!! Hadi sasa kwenye kampeni bado wanaahidiwa???!!! Huduma ya afya, bado mitihani,!!! Ije kuwa kwa mdeeKwa miaka 10 aliyokaa Halima Mdee kuwakilisha jimbo la Kawe, maendeleo ya miundombinu ya kijamii ni kama hakuna.
Barabara chache sana za kuunganisha maeneo zimejengwa.
Nimeishi jimbo ka Kawezaidi ya miaka 20 baada ya kuhamia huku toka Temeke, hali ya Kawe inatisha.
Tunahisi Mdee aidha hawezi kazi yake kushawishi serikali kuleta hayo maendeleo muhimu ya miundombinu ya barabara, au tu kwamba hafai.
Kwa muda wote huo sijamwona huku mitaani akipita kusikiliza kero kubwa za wananchi hususan barabara.
Huwa narudi Temeke, Tandika na Kijichi na huwezi kuamini.
Barabara mpya maeneo hayo ni zaidi ya kilometa 100, na zinapita hadi uchochotoni.
Tatizo lipo kwa muwakilishi wetu, Halima Mdee.
Tusichague vyama tuchaguemtu awezaye kuleta maendeleo ya barabara.
Watu wasichague kwa mazoea, chagua Gwajima tupate mabadiliko na maendeleo.
Hata waliomchagua Trump si kwamba wanampenda, wamemchagua kwa maslahi ya maendeleo yao.
Wana Kawe tuwe strategic, chagua Gwajima.
Mkuu nikifikiri uko vizuri upstairs!
Ushamba mkubwa zaidi ni kutojua wajibu wa mbunge kushawishi serikali ishughulikie kero za watu waliomchagua.
Yaps!Tunalipa kodi ambazo hazitazami unatoka chama gani.
Umetema yai (,ngeli),unajua English mkuu.hongera sanaLakini wana sera unazozipigia capuo za kula maboga au siyo?
Stupid thinking infers stupid foresight.
Unajitahidi ili kuweza kuendana na maswali yangu Ila ubongo wako Ni mzuri Sana.Mie Sina hoja au wewe huna hoja??? Hivi kama wewe ni mtanzania mwenye akili timamu unaweza ukauliza humu mtandaoni juu ya hoja makini za Halima Mdee???? Hata mtoto wa form 4 tu atakuonyesha!!
Mnapewa bundle za bure za kina pole pole mje kuharibu mijadala ya maana humu mnafiriki sie hatujui???
Kwa kukusaidia wewe kilaza wa Lumumba muone mbunge makini huyo hapo