Miaka 15 ya ndoa bila kuchepuka, namshukuru Mungu

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ unamchokoza mwendazake sasa Kiongozi wa Malaika mbinguni 🀣🀣🀣🀣🀣🀣
Huu uzi umevamiwa na malaika wachafu aise nacheka tu dahπŸ˜€πŸ˜€
 
We si unamjua BAK alivyo mchokozi? 😜😜😜miaka 15 kula mapishi yale yale wali kuku si mchezo ati. Hongera zake nyingi.
Kwahiyo wewe huwezi? why usime mapishi yale yale wakati wali/mchele unaweza pikwa kama pilau, biriani kuna wali wa vitunguu, karoti, hadi mdalasini nk. Acha kujiendekeza bana unaweza πŸ˜’
 
Reactions: BAK
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ unamchokoza mwendazake sasa Kiongozi wa Malaika mbinguni 🀣🀣🀣🀣🀣🀣
Hahahhaa kwamba magu ni kiongoz wa malaika wachafu🀣🀣
 
Reactions: BAK
Utamu tunao wenyewe kule tunafuata utelezi tu
watu huwa tunaangaika sana, utamu upo kwetu na ni swala la ki akili zaidi unavyo itazamisha ndivyo inavyokuwa. πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ hayo ya kufinyiwa kwa ndani sio nje ni katika hali ya kuiset akili.tu
 
Huyo Frontier yuko humu jf?

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
🀣🀣🀣🀣🀣🀣 unadhani kwanini Waislamu wanaoa wake wanne? 😜😜
Kwahiyo wewe huwezi? why usime mapishi yale yale wakati wali/mchele unaweza pikwa kama pilau, biriani kuna wali wa vitunguu, karoti, hadi mdalasini nk. Acha kujiendekeza bana unaweza πŸ˜’
 
Utamu unatofautiana Mkuu msemakweli mpenzi wa Mungu, Suleiman mwenyewe alionjaonja sana Mfalme Daudi naye alionjaonja, tukupe bibli/Koran uape kama kweli huja... wala kupata hisia
utamu ni swala la akili yako inavyo peleka taarifa katika sehemu zingine za mwili..
 
utamu ni swala la akili yako inavyo peleka taarifa katika sehemu zingine za mwili..
Hii hapana hata iweje, kuna mtu ameandika humu, miaka 15 unakula wali samaki asubuhi mchana jioni!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…