Ukimuona nyani mzee?Bado miezi sita nifikishe miaka 20 hapa JF
Ww tupe vitu ata kwa passwordKuna tukio moja nikikumbuka tu uzi utaleta shida zitaanza ngumi za maneno hapa..!! Mods watafika uzi utafungwa.
kakwepa risasi nyingiUkimuona nyani mzee?
Duuuh kumbe wewe ni dingi kbsBado miezi sita nifikishe miaka 20 hapa JF
We mzeee ๐น๐นSelfika?๐ฅบ
๐น๐น๐น Mnaanza kuninyenga nyenga niropoke jukwaa lianze ngumi..!!Hatuogopi, we sema ๐
๐๐๐๐Duh! Ebu share kwa uchache maana matapeli hayaishagi huku jukwaani.
Ila kati ya nyuzi zilizowahi kupata misukosuko SELFIKA inaongoza๐We mzeee ๐น๐น
Ule uzi niliacha kuupitia niko busy na jukwaa la siasa nikifika tu tunaanza ugomvi na Payge kesi haziishi..!! ๐คฃ
Hahaha ngumu kusahau maana hakuna aliyeamini kama Demu ni mke wa MJEDA halafu anagawa mbususu nje na huko nje akiaminisha kwamba hana mtu.....lile tukio lilikuwa la hatari sana ngumu kufutika .ni ujasiri wa hali ya juu.๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ Hamsahau kwani.?
Ule Uzi hausikii dawa wala maombi ni humu tu..!! ๐น๐นIla kati ya nyuzi zilizowahi kupata misukosuko SELFIKA inaongoza๐
Kuna siku zilitembezwa BAN kama 20 hivi kwa mpigoUle Uzi hausikii dawa wala maombi ni humu tu..!! ๐น๐น
Umenisababishia ban nyingi sana ule.
Siku kesi ya Samia ikianza naenda kuufufua kwa kishindo mana nna miubuyu mizito na mimi kutunza siri za watu ambazo wenyewe wameshindwa kuzitunza mhmm SIWEZIII
NAYAMWAGA MWENYE PURESHA ATAPAMBANA NA HALI YAKE..!! HAIIYAAAA ๐คธโโ๏ธ
๐น๐น๐น Ile siku tuliwachefua mods wao wanafuta sisi tunaendelea kuwachamba mpaka wao..!! Weeeh tulikula ban tukawa tunachekea nje ya ulingo aiseee..!!Kuna siku zilitembezwa BAN kama 20 hivi kwa mpigo
Yes indeed...! kitambo maeneo haya...Duuuh kumbe wewe ni dingi kbs
Ankal ule ukorofi ulipitiliza๐น๐น๐น Ile siku tuliwachefua mods wao wanafuta sisi tunaendelea kuwachamba mpaka wao..!! Weeeh tulikula ban tukawa tunachekea nje ya ulingo aiseee..!!
Na kuna mwaka Invisible alitoa umoderator na ban kwa memba wengi tu...Kuna siku zilitembezwa BAN kama 20 hivi kwa mpigo
Duh๐Na kuna mwaka Invisible alitoa umoderator na ban kwa memba wengi tu...