Makari hodari
JF-Expert Member
- May 17, 2022
- 3,339
- 6,666
Ni ajabu sana. Ni kama serikali haikujua kuwa mkataba unaisha kabla. Halafu mkataba ukikaribia kwisha si unatangaza tenda upya? Ku negotiate na current contractor ni sawasawa na kufanya sole source procurement.Hapo hamna kitu, ni janjajanja tu. TICTS watakuja kivingine kwa jina lingine au watakuwa ubia na new investor. Kama alimaliza mkataba halafu anapewa extension ya miezi mitatu kujadili mkataba mpya, nyie amshitukii dili?
Wewe uliona wapi kampuni inamaliza mkataba halafu anaongezewa muda ili wajadiliane halafu mbaya zaidi kampuni husika mkataba wa awali ili-underperform!!🤣🤣
HutchsonAhsante mkuu 'imhotep', kwa hizo taarifa ulizoniwekea kama ushahidi wa umahiri wa kampuni hiyo, ambao hata TICTS ukitafuta habari zao na wao watakuwa na wasifu wa namna hiyo.
Hivi unajua TCTS ni kitawi cha kampuni gani duniani?
Ni kukosa uongozi tu unaoamini kwamba sisi tunaweza sana kusimamia mambo yetu wenyewe.Jambo jema? Hiyo culture kwetu ni neno la kichina.
Ubinafsi umetujaa sana
Mkuu 'imhotep', ulishaisikia kampuni hiyo aliyoitaja mkuu HIMARS' hapa?Hutchson
Hao 'Hutchison', je/ hujawahi kuwasikia popote duniani?Hawa wanahudumia Bandari nyingi Duniani kote sio njaa njaa kama TCTS
Sijawahi labda ni gugo.Mkuu 'imhotep', ulishaisikia kampuni hiyo aliyoitaja mkuu HIMARS' hapa?
Hao 'Hutchison', je/ hujawahi kuwasikia popote duniani?
LOooh, umenifanya nicheke kwelikweli.Sijawahi labda ni gugo.
Waipe sido hiyo kazi,, 😂Mwisho wa TICS ni mwanzo wa TICS nyingine, kwa Tanzania tegemea yaleyale au zaidi ya yale, God father wa TICS hayupo sasa amelala Lupaso, shamba linawaniwa na wahuni wengine..
Hao DPWorld kuna jamaa yangu anafanya nao anasema wanatoa mshahara mnono.LOooh, umenifanya nicheke kwelikweli.
Mimi sipo kwenye mambo haya, lakini katika ufuatiliaji tu wa haya maswala, hasa baada ya kuona mizunguko hii ya TICTS miaka yote, ilinilazimu niwajue hao wakubwa, kama nilivyokuja kuwajua hao Duai Port.
Sasa wewe mwenzangu, sijui ulianzia wapi kuwajuwa wababe hao wa Dubai, na kutoweza kujua kabisa habari za washindani wao wakuu duniani. Hivi kweli hiyo inaingia akilini?
Naona "sahihi yako" hapo chini.Nimeiona Wachina hao hawafai.
Kumbe?Hao DPWorld kuna jamaa yangu anafanya nao anasema wanatoa mshahara mnono.
Hutaki tabuHome | DP World
DP World is a world leader in logistics management services. We ensure future viability of global international trade & prosperity of communities around the worldwww.dpworld.com
Ahsante mkuu 'imhotep', kwa hizo taarifa ulizoniwekea kama ushahidi wa umahiri wa kampuni hiyo, ambao hata TICTS ukitafuta habari zao na wao watakuwa na wasifu wa namna hiyo.
Hivi unajua TCTS ni kitawi cha kampuni gani duniani?
Wakiwapa wazawa tumeisha....rushwa. ifisadi na inefficiency itasababisha wadau wakimbilie kwingineko
Maccm hayo!Hapo hamna kitu, ni janjajanja tu. TICTS watakuja kivingine kwa jina lingine au watakuwa ubia na new investor. Kama alimaliza mkataba halafu anapewa extension ya miezi mitatu kujadili mkataba mpya, nyie amshitukii dili?
Wewe uliona wapi kampuni inamaliza mkataba halafu anaongezewa muda ili wajadiliane halafu mbaya zaidi kampuni husika mkataba wa awali ili-underperform!![emoji1787][emoji1787]
Mkuu serikali ndio tatizo,wala si TPA,kwani TPA ni mali ya serikali.Lakini kuna jambo mhuhimu ninaloomba waTanzania tukumbushane kwa kwa kuutumia huu mfano wa mkataba na TICTS.
Kampuni hiyo imekuwepo hapa kwa miaka 20 na kwa muda wote huo sisi waTanzania hatukuweza kujifunza lolote kutoka kwao, kwamba tutajijiengea uwezo wa kuiendesha hiyo sehemu ya bandari baada ya hawa wageni kuondoka.
Hapana, sijasema serikali iingie kwenye huo uendeshaji, (najua kuna watu husema serikali haiwezi chochote), lakini je, hata kuwaandaa na kuwapa uwezo waTanzania nje ya serikali haiwezekani?
Kuna utaalam gani wa zaidi sana ambao watu wetu hawawezi kamwe kuumudu kuendesha shughuli kama hiyo?
Ninaelewa ni kiasi gani tunavyojidharau, kwamba hatuwezi chochote, jambo ambalo sikubaliani nalo kabisa. Kinachotushinda ni viongozi wetu kutosimamia vizuri shughuli zetu na kuwatia moyo wananchi wake ili waweze kuleta mageuzi makubwa katika nchi yao.
Hatuna viongozi wanaoamini kwamba tunaweza, matatizo yetu yanaanzia hapo.
Safari hii lazima atapewa MzanzibariMwisho wa TICS ni mwanzo wa TICS nyingine, kwa Tanzania tegemea yaleyale au zaidi ya yale, God father wa TICS hayupo sasa amelala Lupaso, shamba linawaniwa na wahuni wengine..