Natafuta Ajira
JF-Expert Member
- Mar 25, 2020
- 14,421
- 40,936
- Thread starter
-
- #181
Wapi nimesema ni sharti nikichoandikwa kikubaliwe. Wewe unataka mimi niende kwenye kitu ambacho sijakiandika. Nimeendika mada nyingine ambayo inahusu hii trend ya mabinti kuishi kwa kuganya casually prostitution. Wewe umekuja na mada nyingine ya wanaume kuongaLilikuwa suala la kuzikubali tu hizo hoja , nimekupinga kwa sababu tatizo la watu wachache wewe unataka kulihalalisha lionekane ni la jinsia nzima, ndiyo maana nikakomaa na hiyo hoja ya kuwaongelea wanaume kama ndiyo mzizi wa tatizo kuzidi kukua.
When someone talks about society individualism should be put to the side first. Kuna kitu kinaitwa collective consciousness na hicho ndo anacho kkimaanisha mleta madaStop being so obsessed with red flags that you end up unfairly painting every woman with the same brush.
Huo ndio ukweli feminism imealibu mpaka akili za baadhi ya wanaume. Tatizo changamoto ya kuwa mpumbavu ni kwamba mpumbavu mwenyewe hajioni kama yeye ni mpumbavu. Wanaomzunguka ndio wanaona upumbavu wakeHuwa mnakimbilia huku huku nyie vijana msio kuwa na akili timamu za kujenga hoja zenye mantiki.
Wewe ni mwanaume, kwanini unatumia muda mwingi kuandika kuhusu tabia za wanawake badala ya kuandika kuhusu maadili ya mwanaume?Nikisema walengwa ni wanaume haimaanishi kwamba thread itasomwa na wanaume tu. Hao wanawake wanaweza kusoma lakini ujumbe hahwahusu wao directly. Kuhusu matusi unaweza ukaonyesha wapi limeandikwa tusi kwenye heading au thread
All women might leave you, but there are exceptions among those without red flags, Hichi ndo unachokisema.Mustakabali wa mahusiano ni fumbo lakini huo sio uhalali wa mimi kufanya gamble kwa mwanamke ambae tayari nishaziona red flags. Siwezi nikapuuzia redflags kwa kigezo cha exception. It's ok the future is not ours to see, but when it come to vetting i will jugde women harshly and ruthlessly based on their past
Sahihi kabisa, na ninadhani mfano halisi ni wewe.Huo ndio ukweli feminism imealibu mpaka akili za baadhi ya wanaume. Tatizo changamoto ya kuwa mpumbavu ni kwamba mpumbavu mwenyewe hajioni kama yeye ni mpumbavu. Wanaomzunguka ndio wanaona upumbavu wake
They're being brainwashed to think in terms of black and white... Hawajui that's a trap, a trap to keep blaming themselves for the adversities caused by women.. Because they think that with every woman's deed there is a man behind her....Huo ndio ukweli feminism imealibu mpaka akili za baadhi ya wanaume. Tatizo changamoto ya kuwa mpumbavu ni kwamba mpumbavu mwenyewe hajioni kama yeye ni mpumbavu. Wanaomzunguka ndio wanaona upumbavu wake
Maneno hayo unayasema wewe leoπWewe mtoto akili yako inakuwa kwa kasi sanaa tugemee mrithi wa Jadda so soon..
Hii nni dhana nzuri kupinga hoja ila bado mzani unaegemea kwenu tuu.. Ngoja nikitulia nisome bandiko
Sio mimi ni akili yangu imewaza hivyo.Maneno hayo unayasema wewe leoπ
Kwanini unataka mimi niandike unachotaka wewe? Braza Melo kakukataza kuandika kuhusu maadili ya mwanaume?Wewe ni mwanaume, kwanini unatumia muda mwingi kuandika kuhusu tabia za wanawake badala ya kuandika kuhusu maadili ya mwanaume?
Aiseee hii ni maajabuSio mimi ni akili yangu imewaza hivyo.
Keep going, growing and becoming.. Na jitahidi kuwa bold utunyooshe vizuri.Aiseee hii ni maajabu
ShukranKeep going, growing and becoming.. Na jitahidi kuwa bold utunyooshe vizuri.
Kwa maelezo yangu exception na red flag ni vitu tofauti. Nitakapoiona tu red flag naishia hapo hapo. Siende mbali kwa kuangalia exception. Mfano standard yangu linapokuja suala la kuoa ni mwanamke kuwa bikira. Kwahiyo nitapoona tu sio bikira vetting inaishia hapo hapo siende kwenye exception ya kutaka kujua hana bikira kwa sababu ipi na hiyo sababu ina uzito wa mimi kulegeza msimamo wangu?All women might leave you, but there are exceptions among those without red flags, Hichi ndo unachokisema.
Halafu unapofanya vetting, you are looking for those who are exceptions from the common character.
Kwenye hoja yako hii, wanawake wote umewagroup kwenye kapu moja(Common character), kapu la kukusaliti wakifuatwa na mwenye pesa but.......... Exception sasa ikaanza kutumika ukaiita red flag.
so nadhani kuhusu kuwa na exception tumemaliza, Unless unataka tujadili for the case ya kusogeza muda.
Sio assumptions hizo ni facts.Sahihi kabisa, na ninadhani mfano halisi ni wewe.
Maana unaandika assumptions mtupu kwa uhakika sana as if unawajua sana wanawake kuliko wanavyo jijua wao.
I love you πWambie wanaume wenzio
wasioe kabisa
Ili kukata mzizi wa ftina
Hua mnakuja na nyuzi hizi kama darasa ila kwa upande mwingine mnapenda mnoo kudhalilisha wanawake
Hampendi kutumia ule msemo Baadhi ila wanawake wote ni malaya hakuna msafi aiseeπππππ
Kwenye jamii yoyote ile iwe zamani au sasa umalaya ukahaba ulikuepo
Na umalaya ni wapande mbili wanaume kwa wanawake
Kama baadhi ya wanaume wasingekua malaya umalaya usingekuepo na pia kama baadhi ya wanawake kua malaya ukahaba ungewezekana vipi?
Hii ni tabia chafu mbovu inategemea pande zote za shilingi ajabu mnachagua upande mmoja na kuubebesha mzigo wa lawama
Nb: Siungi mkono hizo tabia za ukahaba
Hawa feminist wa kiume nao ni sehemu ya tatizo. Inabidi kuanza kuwapiga spana na wao.They're being brainwashed to think in terms of black and white... Hawajui that's a trap, a trap to keep blaming themselves for the adversities caused by women.. Because they think that with every woman's deed there is a man behind her....
Hawajui kuwa hawa viumbe wana categories wanaume, hawajui kuwa weak minded men are always gonna be fooled. Ulisema yule manzi alikuwa na boyfriend, ambaye alikuwa hajui kuwa manzi yake anakipiwa ada ya shule na sponsor...
Sasa kwa scenario hiyo huyo manzi ama Fanya ukahaba na huyo boyfriend wake hakujua, bado alikuwa na madanga kama yote ila bado watu kama huyu jamaa unae bishana naye atataka aseme kuwa huyo malaya hatakiwi kulaumiwa because hilo jambo linamhusu mwanaume sasa una kaa kujiuliza Wth inamaana hata akili ya kuzaliwa mtu hana?
Me more than you babe sister πI love you π
Now ngoja nirudi nikasome comments zote.