Miaka michache ijayo wadogo na watoto wetu wataoa makahaba wastaafu

Am not here to play with words nimefanya sana nilicho waambie I wacheni kukamata philosophy na psychological terms.. Fanyeni connections na natural biological instincts hizo hizo ulizo sema hazina words efficient kuzi describe majibu yatakuja automatically

Huu ujinga wa maneno ni mbaya na huwa una sababisha kuandika paragraphs zisizo na maana. Hatutafuti ukweli ila tuna rudi kwenye ukweli

Periodt
 
Onyesha ni hoja gani niliyo iandika ni ya kidogma na uonyeshe kwa nini?

Leo muda upo mwingi sana.
Mkuu siko hapa kuprove kitu kilicho wazi na kama wewe ndo mindset yako hiyo sipo kucheza Cheza na ujinga wa explanation because it leads no where.

Nilisha uka kwenye hayo mambo kitambo. Kila kitu kiko wazi wanyama wanakuzidi akili kama Unashindwa kuona na kuhisi
 
Hakika, the worst is yet to come. Mkuu nimependa ulivyo-connect dot ukaja na hitimisho tofauti na nililowazia, yaani mimi nikifikiri madogo wataoa makahaba wastaafu wewe umekuja na wazo jipya kwamba hao waoaji na waolewaji hawatakuwepo kabisa.

Kuna jamaa uko juu wao wanataka mimi nii-divert topic kwa kuandika wanachotaka wao.
 
Embu andika kwa kiswahili. Si unakijua? Hizo terminology unazitumia kama kichaka, toka hapo kichakani.

Haya, mimi na wewe hatuelewani wapi linapokuja suala la mwanamke?
Una elewa vizuri tu
Nilikwambia uprove hiyo dominance ya mwanaume kwa mwanamke ukakimbia

Kwa sababu huna hoja unataka tu play na ujinga wa explanation kupoteza muda
 
Reactions: Tsh
Kitu kinachoonekana wazi kwako kinaweza kisiwe wazi kwa mtu mwingine, ndiyo maana hoja inapaswa kujengwa kwa kueleza sababu, siyo tu kwa kudhani ety kila mtu ataona hitimisho lilelile.

Unaweza kutuambia ni kwa hatua gani hasa kutoka kwenye hizo instincts unafikia conclusion yako?

Halafu kama kuna sehemu psychology imekosea, ni rahisi tu, onyesha ushahidi unaopingana na hiyo sehemu.

Mijadala ya aina hii huwa inataka mtu aonyeshe connection kati ya premise na conclusion, siyo kututangazia tu kwamba jibu lipo wazi.
 
Reactions: Tsh
Ni kujidanganya kwamba haya mambo yameanza leo. Kwa sisi tuliokaa na wasichana hostel enzi hizo, mambo hayo sio mageni kwa wanawake wa vyuoni, hayajaanza leo. Kichwa cha habari ilipaswa kuwa kuna baadhi ya wanaume uoa makahaba.
Mara ya kwanza nasoma Rosa Mistika, nilihisi Kezilahabi kama alikuwa time traveler, namna alivyoandika unaweza fikiri ni mwaka 2026
 
Una elewa vizuri tu
Nilikwambia uprove hiyo dominance ya mwanaume ukakimbia

Kwa sababu huna hoja unataka tu play na ujinga wa explanation kupoteza muda
Unarudi kwenye kichaka chako cha maneno ya kingereza. Au tuamie kingereza?

Swali ni jepesi.
Linapokuja suala la mwanamke, mimi na wewe tunatofautiana wapi?

Kwanini mimi nakuwa mtetezi wa wanawake malaya na wewe ni jasiri muongoza njia kwa wanaume jasiri?
 
So simple

Instincts are real, psychology is programmable.

Nadhani umeelewa sio programming ya computer ila maana ni ile ile.
 
Unarudi kwenye kichaka chako cha maneno ya kingereza. Au tuamie kingereza?

Swali ni jepesi.
Linapokuja suala la mwanamke, mimi na wewe tunatofautiana wapi?
Mkuu hujui?

Tuko different both physically, and biologically hasa hasa.

Na tofauti hiyo ina affect other aspects mpaka namna tunavyo perceive things emotionally.

Sasa vyote hivi ulikuwa hujui?
 
Reactions: Tsh
Umejificha kwenye kichaka cha "wanawake watakataa" wakati hiyo siyo hoja. Hoja ni generalization ya hao wanaokataa kuwakilisha wanawake wote duniani.

Inaonekana hujajua ninachokupinga.
Nimeelewa unachokipinga kwamba mimi nafanya general assumptions lakini kwenye uhalisia kuna exceptions. Ndio maana mimi nikasema basi badala ya kufanya assumptions tufanye utafitu wetu mdogo. Tuachane na generalization ninayofanya mimi. Tuachane na exception unayoitetea wewe. Twende kwenye utafiti. Sijaelewa kwanini unaogopa utafiti wakati.

Maana hata tukisema jf sio population ya wanawake wote kwaiyo hatuwezi kupata accurate data. Bado hiyo inaweza kutengua hata assumptions zangu ulizosema nimezifanya kufikia hitimisho kwahiyo hata mimi nilitakiwa kuogopa utafiti. Bado sielewi kwanini ni wewe tu ndio unaogopa utafiti.
 
Reactions: Tsh
Unadharau maneno, wakati maneno ndiyo zana tunayotumia kuelezea na kupima ukweli.

Hatuwezi kujadili natural biological instincts bila kutumia concepts na definitions, hata biology yenyewe ina maneno maalum inayotumia kuelezea vitu vinavyotokea mwilini na kwenye tabia.

Hauoni kama tusipokuwa na lugha sahihi, kila mtu anaweza kuelewa neno lilelile kwa maana tofauti na mwisho tunakuwa tunajadili vitu viwili tofauti hapa?

Suala la jibu kuja automatically ni assumption, ndiyo maana tunahitaji reasoning na evidence kuonyesha ni nani anaeleza vizuri zaidi.
 
Mkuu hujui?

Tuko different both physically, and biologically hasa hasa.

Na tofauti hiyo ina affect other aspects mpaka namna tunavyo perceive things emotionally.

Sasa vyote hivi ulikuwa hujui?
Hahaha. Unakatika sana.
Sasa ukikaa kwenye hicho kichaka cha phyisically, biologically unadhani huonekani?

Kwa ufupi inawezekana hujui unachopinga ni nini, hujui unapingwa hoja gani, yaani umevurugika.
 
You are a walking zombie mkuu sitanii

Huwezi kufundishwa natural instincts na wakati ndo uhalisia wa kinacho kutokea.

There's no need of reasoning and other blah blah hapo tuache utani sasa
 
Unachokiona wewe kuwa kiko wazi ndicho kinacho hitaji kuchunguzwa zaidi.

Kama unaona jambo fulani liko wazi sana, toa hoja na ushahidi wenye mantiki ili na sisi ambao hatujaliona hilo jambo kwa uwazi tuanze kuliona kwa mtazamo sawa na wako.
 
Hahaha. Unakatika sana.
Sasa ukikaa kwenye hicho kichaka cha phyisically, biologically unadhani huonekani?

Kwa ufupi inawezekana hujui unachopinga ni nini, hujui unapingwa hoja gani, yaani umevurugika.
Listen hapa umeuliza swali nimejibu kwa namna ya ku kuonesha tofauti mama.

Wewe mpk now unapinga tu huleti uthibitisho wa kiuhalisia unajitekenya na kutafta closure kwa wengine and that's insane tu.

If bado huleti uthibitisho wa physical dominance ya mwanamke ambayo nilitaka uniweke, then bora tuishie hapo.

You've nothing meaningful
 
Reactions: Tsh
Sijaogopa utafiti, na sijakataa kwamba ufanyike, nimehoji tu nini kikitokea kitatoa hitimisho kuwa wewe upo sahihi, au mimi ndo nipo sahihi?

Je, wanawake wakipinga bila exception wewe ndo utakuwa sahihi?

Au pakitokea wanaokubali hata kama wengi wamepinga nitakuwa sahihi?

Tukikubaliana hapa, tunafanya utafiti wetu uchwara.
 
So simple

Instincts are real, psychology is programmable.

Nadhani umeelewa sio programming ya computer ila maana ni ile ile.
Kama psychology inaweza kuprogramu akili ya binadamu, hiyo programming inaingiaje?

Inafanya kazi kwa sababu hakuna instincts, au kwa sababu instincts zipo lakini binadamu ana uwezo wa kujifunza na kubadilika?
 
Unaposema mimi napinga, napinga nini?

Ona sasa utakavyoingia kichakani ukiwa unajibu hili swali.
 
Kama psychology inaweza kuprogramu akili ya binadamu, hiyo programming inaingiaje?

Inafanya kazi kwa sababu hakuna instincts, au kwa sababu instincts zipo lakini binadamu ana uwezo wa kujifunza na kubadilika?

Mbona unauliza maswali na majibu unayo?
It's human desire to change their instincts that's fucking them up.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…