Miaka michache ijayo wadogo na watoto wetu wataoa makahaba wastaafu

Usihame, hame, wadudu wa nini tena? Sema nimepuyanga wapi kwenye hiyo hoja, tujadili hoja kwa hoja.
Mkuu unajua unachokitetea? Umesema mfumo wa kifamilia ulikua invented na sheria za kiserikali ndio jamaa akakuuliza wadudu ambao nao wanaishi kwa mfumo huo huo wa kifamilia wanalijua hilo, kwamba nao wana serikai zao zikiwawekea huo utaratibu. Ndipo unakuja kuona haupo sahihi. Mfumo wa kifamilia uliibuka kwa kufuata natural pattern ndio maana wanyama na wadudu wasiokua na ufahamu kwa sisi nao wanaishi katika mfumo wa kifamilia. Hivi hauelewi au umeamua tu kutoelewa?
 
Reactions: Tsh
Obviously ulichoandika ndicho ulichoona lol!
Kwamba hata hauelewi kuwa mtu akitanguliza neno " ninachokiona" hapo anakuwa anazungumzia mtazamo wake?

Suala dogo kama hili nalo hujui? Utakuwa na shida mahali wewe.
 
Madogo wanataka matokeo, hawataki mchakato wa kupata hayo matokeo
 
Sijasema mfumo wa familia umekuwa inveted na sheria. Nilieleweka vibaya au katika uandishi niliskip item muhimu mkanielewa vibaya.

Nimesema mifumo ya control za familia Before haikuwepo.

Family was general, ungeweza kwenda anywhere, ukawa na mwanamke, kesho ukaondoka ukawa na mwingine bila maadili, sheria wala serikali kujaribu kukuwekea control.

Then ikaja control Kwa ajili ya access. Ukiwa na familia inatakiwa itambulike ili iwe na uhalali. Sasa hivi hilo linapungua.

Hii ndo hoja yangu. Kama mlinielewa tofauti, sahihisheni.
 
Kila nilicho kuuliza tangu tuanze huu mjadala, hakuna ulipo nijibu directly, unakula kuona tu, unataka nikuone una hoja ili hali hauna hoja kabisa.
Unajibiwa kwa usahihi kabisa. Shida unatarajia atakaekujibu aingie kwenye mfumo wako ili umpige KO. Ndio maana majibu yakija tofauti na mpangilio wa mbinu yako unakimbilia kusema haujaeleweka. Haiwezekani kila mtu asikuelewe wewe tu.
 
Reactions: Tsh
Nani kapinga ulichoandika sio mtazamo wako? You really have some comprehension issues.
Mimi na wewe mwenye hilo tatizo ni nani?

Au ndio ukiwa kichaa kila mtu unamuona ni kichaa mwenzako?

Umereply hoja yangu, nikakujibu kuwa ndiyo maana nilitumia neno linaloonyesha huo ni mtazamo wangu, unarudi tena kujibu sijui ujinga gani, hauoni kama unaonekana ni mjinga hapa?
 
Unajibiwa kwa usahihi kabisa. Shida unatarajia atakaekujibu aingie kwenye mfumo wako ili umpige KO. Ndio maana majibu yakija tofauti na mpangilio wa mbinu yako unakimbilia kusema haujaeleweka. Haiwezekani kila mtu asikuelewe wewe tu.
Hakuna sehemu amejibu kwa usahihi, zaidi anaingiza kejeli tu, na mtu wa aina hiyo kwangu mimi huwa namuona kama hajafika kile kiwango cha kufanya mjadala na mimi kwa kutumia hoja zenye mantiki.
 
You sound desperate. Hebu twende hatua kwa hatua, wapi nimeandika kwamba ulichoandika wewe sio mtazamo wako?
 
Haiwezekani kila mtu asikuelewe wewe tu.
Unarudia makosa yale yale, niliyokurekebisha jana.

Unapozungumzia kila mtu una maanisha nini?
Wewe na nani?

Mbona unatafuta support ya kijinga sana kijana.

Nimekupa mtihani mdogo tu jana, onyesha wapi kila mtu huwa ananipinga humu ndani, uzuri huwa nachangia karibia majukwaa yote.

Ukiandika assumption na kutaka kuwalisha watu mtazamo wako ambao hauna uhalisia wowote ni lazima utakutana tu na mimi kwenye uzi wako/comment yako.

Ni wewe na huyo mwenzako ndiyo tunapingana sana humu ndani, kwahiyo usipende kutumia neno kila mtu maana naona haujui hata maana yake.
 
Reactions: Tsh
You sound desperate. Hebu twende hatua kwa hatua, wapi nimeandika kwamba ulichoandika wewe sio mtazamo wako?
Duh, soma reply yako ya mara ya pili umejibu nini halafu rudi hapa kuniambia ulimaanisha nini?
 
Duh, soma reply yako ya mara ya pili umejibu nini halafu rudi hapa kuniambia ulimaanisha nini?
Hahaha. Yaani utoe tuhuma wewe halafu utake wengine wathibitishe? With all due respect, uwezo wako wa kuelewa maandishi ni mdogo sana mkuu. I repeat, again, you have comprehension issues.
 
Ndoa ni sheria ilikua invented na binadamu. Lakini nature haitambui ndoa inatambua tu mwanaume na mwanamke kama partner.

Dhana ya mwanaume kuweza kuwa na partners wengi wa kike chimbuko lake ni asili. Mwanaume na mwanamke wakiishi maisha ya promiscuous, ni mwanamke ndie atakutana na consequences mbaya zaidi.

Kuna suala la kibailojia pia mwanamke ana changamoto nyingi linapokuja suala la sex mfano hedhi, mabadiliko ya homoni, ujauzito n.k tofauti na mwanaume ambae yupo active 24hrs/day. 30days/month. 365 days/year.

Ukiongelea tamaa tu ya kuzini ya kuzini baina ya mwanaume na mwanamke ilo ni suala binafsi kiasili alipodetemined by nature. Lakini ukija kwenye consequences zake hapo ndipo kuna nature maana promiscuous inamkatili zaidi mwanamke. Ndio natural pattern ikawezesha suala la mwanaumenkuwa na partners wengi tofauti na upande. Hiyo sio sheria ambayo ikiwekwa na serikali ni suala ambalo liliibuka kwa kufuata asili yetu kimaumbile
Umiliki wa wanawake wengi.
Hiyo ni polygamy. Wewe ulisema familia nyingi nafikiri hiyo ni extemded family. Kuna tofauti ya wake wengi na familia nyingi
Sheria zipo ili kucontrol, binadamu atawalike.
Asili ya sheria ni kumlinda mnyonge. Kuzitumia hili kumtawala binadamu ni madhumuni ambayo ambayo yaliibuka baadae sana kwa masilahi ya tabaka tawala, hayakua lengo la ku-invent sheria kuanzia mwanzo.
 
Reactions: Tsh
Hahaha. Yaani utoe tuhuma wewe halafu utake wengine wathibitishe? With all due respect, uwezo wako wa kuelewa maandishi ni mdogo sana mkuu. I repeat, again, you have comprehension issues.
Sina haja ya kurudia kusoma , chochote na haitabadili chochote wewe kuongea haya.

Labda ulihitaji nini kwenye hoja yangu?
 
Sawa, kwa hiyo tumekubaliana kwamba wanaume sisi kiasili tunapenda kufanya ngono na mwanamke zaidi ya mmoja au la?

Jibu Kwa ufupi sana Kadri utakavyoweza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…