Natafuta Ajira
JF-Expert Member
- Mar 25, 2020
- 14,421
- 40,936
- Thread starter
-
- #461
Hapa sasa ndipo unaingia kwenye assumptions ambazo unakataa mimi kuzitumia. Kuja na majibu kabla hata ya utafiti si ndio assumptions hizo?Sasa reaction za wanawake wa kisasa walio wengi si zipo wazi, wengi wanataka pesa ya wanaume, watapinga hoja. Kundi la Malaya likatae pesa? Hii haikuwa hoja yangu.
Bado na wewe upo pale pale kwenye assumptions ambazo unapinga mimi kuzitumia. Umejuaje kama kuna watakaokubali na watakaokataa?. Haujawaza kwamba tunaweza tukafanya utafiti na wote wakakubali au wote wakakataa? Tusifanye assumptions. Twende kwenye utafiti halafu mjadala mpya uanzie baada ya kukusanya dataHoja yangu ni kuseal wanawake wote kwenye hilo vazi la umalaya.
Vipi kundi la wanawake porini huko kusipo na access ya network? Wanawakilishwa na hili hili kundi humu JF litakalopinga hoja?
Kuna kijiji nilikuwepo cha wamasai, kuna mama mmoja mwenzangu akampa msaada wa kupata umeme wa sola kwenye nyumba yake ya udongo, yule mama kazaa na hajamuona mwanaume aliyemzalisha miaka na miaka. Kakimbiwa na watoto kaachiwa, kapambana nao huko porini nao ni watu wazima. Huyu haijui ela ya mwanaume lakini si mwanamke? Anaingia kwenye kundi la malaya sababu alizalishwa mwanaume akamtoroka? Huko porini umalaya anaufanya kwa mfumo gani?
Ndo maana nikasema, akitamkwa mwanamke, picha inayojengwa si ya mwanamke wa aina moja tu, wapo wanawake wengi sana wenye hadithi tofauti sana za maisha. Huwezi waweka kwenye kundi moja na kutoa hitimisho.
Sasa imajini wewe unajiita dudu langu v..kwanini umalaya usiongezeke??Matunda, perfume,karanga,ndizi, juice na other small business kwa wadada ni mtindo mpya wa kufanya umalaya hii utakufanya umuone hustle kumbe nyuma ya pazia kuna black 🐈⬛ prostitute.......
Aisee.! Hii sijawahi kuifanyia utafiti binafsiOngezea hii
Wanawake wengi wanaolewa/wanaokwenda
Kuolewa hawana marinda
Ova
Utafiti lazima kuna watakaokubali na wapo watakaokataa. Hata ukifanya utafiti wa walio tayari kufa, wengi watakataa ila wapo watakaosema wapo tayari.Hapa sasa ndipo unaingia kwenye assumptions ambazo unakataa mimi kuzitumia. Kuja na majibu kabla hata ya utafiti si ndio assumptions hizo?
Bado na wewe upo pale pale kwenye assumptions ambazo unapinga mimi kuzitumia. Umejuaje kama kuna watakaokubali na watakaokataa?. Haujawaza kwamba tunaweza tukafanya utafiti na wote wakakubali au wote wakakataa? Tusifanye assumptions. Twende kwenye utafiti halafu mjadala moya uanzie baada ya kukusanya data
Katika civilization ya binadamu mfumo wa kudhibiti fsmilia ulikuwepo kabla ya kuwekewa sheria. Hapa kumbuka tunavyosema familia tunamaanisha baba, mama, mtoto. Na tumavyosema ndoa tunamaanisha sheria ambayo ilitungwa na mamlaka za kiutawala.Sijasema mfumo wa familia umekuwa inveted na sheria. Nilieleweka vibaya au katika uandishi niliskip item muhimu mkanielewa vibaya.
Nimesema mifumo ya control za familia Before haikuwepo.
Family was general, ungeweza kwenda anywhere, ukawa na mwanamke, kesho ukaondoka ukawa na mwingine bila maadili, sheria wala serikali kujaribu kukuwekea control.
Then ikaja control Kwa ajili ya access. Ukiwa na familia inatakiwa itambulike ili iwe na uhalali. Sasa hivi hilo linapungua.
Hii ndo hoja yangu. Kama mlinielewa tofauti, sahihisheni.
Sasa hivi ni child suport, na ni mjini. Huko maporini wala hakuna hizo.Katika civilization ya binadamu mfumo wa kudhibiti fsmilia ulikuwepo kabla ya kuwekewa sheria. Hapa kumbuka tunavyosema familia tunamaanisha baba, mama, mtoto. Na tumavyosema ndoa tunamaanisha sheria ambayo ilitungwa na mamlaka za kiutawala.
Familia ilikuwepo kabla ya sheria ya ndoa, na civilization inaonyesha kulikua na namna ya kuidhibiti mfano ukimpa mimba mwanamke ilikua unasulutishwa kumuoa muishi kama familia.
Infact, hizo sheria ndizo zimekuja kutengua msingi wa familia. Kwa sasa unaweza ukamzalisha mwanamke na ukaishi free kabisa bila kuwepo na mfumo wowote wa kijamii kukushurutishwa. Mkienda kwenye sheria utaambiwa tu utoe child support lakini hautasulutishwa kumuoa huyo mwanamke muishi kama familia
Wewe ulifanya wapi utafiti ukajua kwenye kila kitu kuna watakaokubaki na watakaokataa? Majibu yako hayana data support na hiyo ndio maana halisi ya assumptions. Unapinga kutumia assumption halafu hapo hapo unatumia assumptions kama msingi wa hoja yako. Unataka evidential argument. Nakuambia tufanye utafiti mdogo hapa hapa tulipo unaamisha goli. Haujui unachokitetea mkuu. You are a coward, you don't know what you're advocating forUtafiti lazima kuna watakaokubali na wapo watakaokataa. Hata ukifanya utafiti wa walio tayari kufa, wengi watakataa ila wapo watakaosema wapo tayari.
Lakini ikitokea ukawa katikati ya kundi la wanaotaka kujiua wakati wa utafiti wako, utahitimisha kuwa dunia nzima inataka kujiua? Hizi ndo factors zinazopinga generalization.
Hoja ni kwamba, kundi la wanaokataa haliwakilishi kundi la wote waliobaki. Na hakuna njia sahihi humu JF ya kusema wanawake watakataa sababu sample inayotumika ni ndogo sana kuwakilisha wanawake wote.
Humu JF makundi yote ya wanawake hayawawezi wakilisha wanawake wa Tanzania. Labda tuseme wa JF.
Sasa, neno "mwanamke" likitamkwa halimaanishi mjini tu, JF tu, vyuoni tu, ni identity ya wanawake wote ndo maana nasema exception wakati wa kuleta hoja ni muhimu kama si lazima.
Mfano, Kuna kundi kubwa la wanawake huko porini wala halijui JF ni nini achilia mbali smart phone, na hili linawakilishwa na hawa hawa waliopo humu?
Maisha ni tafiti.Wewe ulifanya wapi utafiti ukajua kwenye kila kitu kuna watakaokubaki na watakaokataa? Majibu yako hayana data support na hiyo ndio maana halisi ya assumptions. Unapinga kutumia assumption halafu hapo hapo unatumia assumptions kama msingi wa hoja yako. Unataka evidential argument. Nakuambia tufanye utafiti mdogo hapa hapa tulipo unaamisha goli. Haujui unachokitetea mkuu. You are a coward, you don't know what you're advocating for
Hata uko mapolini ambapo hawafuati sheria kama sio hawazijui kabisa, bado kuna civilization ambazo zinadhibiti familia. Hawaishi tu kama kuku ambao jogoo anaweza kupanda matetea hata kumi halafu akaondoka zake tu free bila kuwa na mfumo wa kijamii wa kumuwajibishaSasa hivi ni child suport, na ni mjini. Huko maporini wala hakuna hizo.
Sasa huko porini kusikofikiwa na mifumo ndo picha halisi ya binadamu bila mifumo anafananaje
Hawabanwi kutokuishi kama kuku na mifumo. Kutokubanwa haimaanishi wote wanaishi kama kuku, wapo wanaoishi kama kuku na wapo wenye familia zao. Mambo mepesi haya, hahaha. Usiwe tu rigid kuchagua mwelekeo halafu huo mwelekeo uka seal hatma ya kundi lote, ukishakuwa flexible wala hakuna tunapopishana.Hata uko mapolini ambapo hawafuati sheria kama sio hawazijui kabisa, bado kuna civilization ambazo zinadhibiti familia. Hawaishi tu kama kuku ambao jogoo anaweza kupanda matetea hata kumi halafu akaondoka zake tu free bila kuwa na mfumo wa kijamii wa kumuwajibisha
Kuna sababu nyingine zaidi ya umasikini. Kuna jamaa kule kwenhe comments za mwanzo amesema hii relationship monetization ni kama trend ambayo wanawake wa kisasa wameifanya kama mfumo ku-regulate mahusiano.Kama tatizo ni umaskini mbona enzi zile mabinti hawakua na mihemko ya tamaa kiasi hiki cha sasa ukilinganisha zamani umaskini ulikua mkubwa zaidi
Kuna haja ya kurudi kuishi katika mila za kitemi sana na kww nguvu katika jamii.Kuna sababu nyingine zaidi ya umasikini. Kuna jamaa kule kwenhe comments za mwanzo amesema hii relationship monetization ni kama trend ambayo wanawake wa kisasa wameifanya kama mfumo ku-regulate mahusiano.
Ambae ana simu ya kitochi atataka umnunulie hata hizi cheap phones za mikopo. Mwenye hizo cheap phones atataka flagship phone. Mwenye flagship atataka simu ya kifahari. Kwahiyo ni trend imefanywa kama njia ya kupata vitu ambavyo hawana uwezo navyo.
Haujui assumption ni nini. Unapinga assumption hapo hapo unatumia assumption kama argumentative based yakoMaisha ni tafiti.
Tafsiri ya utafiti ni kuprove theory.
Ukisema nafanya utafiti kuwa idadi ya wanaume ni wengi JF kuliko wanawake unafanya utafiti wa kuprove theory kuwa JF ina wanaume wengi Kuliko wanawake.
"Kila kitu" kuna watakao kubali na watakao kataa ni theory. Sasa unless useme sio kila kitu kwasababu sijatoa tafsiri ya "kila kitu" ni nini otherwise kila kitu kitakubaliwa na kitakataliwa.
Huwezi rudi kwenye utemi bila serikali kuweka hiyo mifumo. Na serikali inaangalia interest zake.Kuna haja ya kurudi kuishi katika mila za kitemi sana na kww nguvu katika jamii.
Haujui assumption ni nini. Unapinga assumption hapo hapo unatumia assumption kama argumentative based yako
Unaogopa utafiti wa wazi hapa jf kwa sababu unajua hao hao wanawake unaowatetea watakuprove wrong.
You are a coward. You don't have balls to stand firm even on your own argumentative base.
Unazunguka mbuyu tu hapa
Mkuu unajua unschokitetea? Ni wazi haujui maana na tofauti za family, marriage law na civilization. Hapa sasa itsnilazimu nianzie mbali sana kukueleweshaHawabanwi kutokuishi kama kuku na mifumo. Kutokubanwa haimaanishi wote wanaishi kama kuku, wapo wanaoishi kama kuku na wapo wenye familia zao. Mambo mepesi haya, hahaha. Usiwe tu rigid kuchagua mwelekeo halafu huo mwelekeo uka seal hatma ya kundi lote, ukishakuwa flexible wala hakuna tunapopishana.
Hakuna utetezi hapo, Statement ipo too clear.Mkuu unajua unschokitetea? Ni wazi haujui maana na tofauti za family, marriage law na civilization. Hapa sasa itsnilazimu nianzie mbali sana kukuelewesha
Hiyo ndio asili ya wanyama wote. Hsya masuala ya gender equality, feminism na demokrasia tuliingia chakaKuna haja ya kurudi kuishi katika mila za kitemi sana na kww nguvu katika jamii.
Hiyo ndio asili ya wanyama wote. Hsya masuala ya gender equality, feminism, demokrasia tuliingiaKuna haja ya kurudi kuishi katika mila za kitemi sana na kww nguvu katika jamii.
You are a coward"HAO HAO WANAWAKE UNAOWATETEA WATAKUPROVE WRONG"
Sasa "hao hao wanawake" ninaowatetea unahitimisha vipi kuwa wapo humu JF?
Hahaha, mkuu. Embu elewa hoja ya msingi ni generalization ya sample space yako kuwakilisha wanawake wote.
Haya, ninaowatetea hawapo humu, wapo umasaini, twende umasaini tukafanye tafiti.
Au tufanye natetea wanawake wanaokujali, ndugu zako, mke, watoto n.k twende tukafanye utafiti.
Au tuseme natetea kundi la wanawake walio katika baraza la mawaziri. Twende tukafanye utafiti.
Kwanini wanawake sample space ya JF ndo itumike kuwakilisha hoja inayohusu wanawake wote?