Watu wengi wakiongelea tabia ya mabinti kujiuza au kutumia mapenzi kama chanzo cha kipato wanaangalia matokeo zaidi badala ya kuangalia vyanzo halisi vya jambo lenyewe ambapo ni umasikini wa wazazi na walio tayari kununua huduma yenyewe.Swali zuri
Hali ni mbaya sana.Wanachochea sana tena sana
ukute binti hajatambua thamani yake akiwekewa dau mezani na akijiangalia hana hili wala lile unadhani atachomoka kweny huo mtego?
Una shauri wafanye biashara za aina gani ?Matunda, perfume,karanga,ndizi, juice na other small business kwa wadada ni mtindo mpya wa kufanya umalaya hii utakufanya umuone hustle kumbe nyuma ya pazia kuna black 🐈⬛ prostitute.......
ShesRise_1Wambie wanaume wenzio
wasioe kabisa
Ili kukata mzizi wa ftina
Hua mnakuja na nyuzi hizi kama darasa ila kwa upande mwingine mnapenda mnoo kudhalilisha wanawake
Hampendi kutumia ule msemo Baadhi ila wanawake wote ni malaya hakuna msafi aisee🙌🙌🙌🙌🙌
Kwenye jamii yoyote ile iwe zamani au sasa umalaya ukahaba ulikuepo
Na umalaya ni wapande mbili wanaume kwa wanawake
Kama baadhi ya wanaume wasingekua malaya umalaya usingekuepo na pia kama baadhi ya wanawake kua malaya ukahaba ungewezekana vipi?
Hii ni tabia chafu mbovu inategemea pande zote za shiringi ajabu mnachagua upande mmoja na kuubebesha mzigo wa lawama
Nb: Siungi mkono hizo tabia za ukahaba
Nachoka kwakweli,Kila lifanywalo na mdada wa kibongo ni kujifichia umalaya 🙌Just imagine anaejifanyia ka biashara kadogo nae malaya 🙌🙌
Ujumuishwaji huwa unafanyika pale ambapo pande moja inaonekana imechukua nafasi kubwa zaidi mfano ukisema Tanzania ni nchi masikini haimaniishi kwamba raia wake wote ni masikini.Itapendeza na kuleta maana zaidi hilo neno likiwa linatumika kwenye nyuzi za aina hii.
Hizi small business zilikua wanafanya wamama na adabu zao tena walikua wanavaa Smart sana ila now vidada vimechange kua party ya kuficha black 🐈⬛ prostituteDaah,bongo Kila kitu Kwa mdada ni umalaya🙌
Wasipofanya,hawafanyi,wanaombaomba🙌Hizi small business zilikua wanafanya wamama na adabu zao tena walikua wanavaa Smart sana ila now vidada vimechange kua party ya kuficha black 🐈⬛ prostitute
Kwenu wanaume hakuna tabu 😅Hali ni mbaya sana.
Au inawezekana kuwa shida sio uchumi kuwa mgumu bali vipaumbele vyao vimebadilika. Kwa mfano mwaka 1930 hadi 1960 mwanaume hakuhitaji Brevis, iphone, apartment ya vyumba 3, milioni 50 au zaidi kwenye account ya benki na kipato cha shilingi kuazia milioni 3 kwenda juu kila mwezi ili kumfanya mwanamke achanganyikiwe kumuona na kutamani amtongoze na kumchumbia.Ninachokiona kwenye hii simulizi ni tatizo la mfumo wa kiuchumi kushindwa kuwapa vijana ajira na fursa za kujiingizia kipato.
Stress za ndoa mkuu. Funga ndoa uoneKwa nini "mubaba" hawatulii na wake zao badala yake wanaenda kuvizia mabinti wa chuo??
Habari yakoNiambie
Shida pia ni umasikini wa wazazi na wanaume walio tayari kulipia au kununua huduma ya mapenzi na ngono kutoka kwa mabinti wasio wake zao.Au inawezekana kuwa shida sio uchumi kuwa mgumu bali vipaumbele vyao vimebadilika. Kwa mfano mwaka 1930 hadi 1960 mwanaume hakuhitaji Brevis, iphone, apartment ya vyumba 3, milioni 50 au zaidi account ya benki na kipato cha shilingi kuazia milioni 3 kwenda juu ili kumfanya mwanamke achanganyikiwe kumuona na kutamani amtongoze na kumchumbia.
I mean wanawake wa sasa wameweka standards ambazo kiuhalisia ni ngumu kwa mwanaume wa kawaida mwenye ukuaji wa kawaida na wa afya kiuchumi kuweza kuziattain ndio maana wanaishia kukutana na wezi wa mali za uma, wauza ngada, matapeli,wanaume za watu ambao ni rika la baba zao au vijana waliorithishwa mali na familia zao.
Kimsingi ni ngumu kureason na reality kama maisha yako unayafanya kama maigizo ya movie.
Uchumi haujasema uwe na million ndipo uishi,uchumi umeweka standards ambazo wenye kuzimudu wataishi humo,hiyo ni kawaida kabisa katika maisha.
Tatizo ni kuwa na wanawake wanaojivisha standards za daraja la kwanza la maisha wakati wao wapo daraja la tano la maisha.
Hawa wanaume wanaowakataa ni husband materials na hawana shida yoyote na katika kizazi cha wanaume walioanza kufanikiwa mapema katika hali ngumu basi ni cha hawa vijana uzao wa kuanzia 1980. Wanamiliki na kuwa na maisha ambayo kwa nyakati hizi ni wamejitahidi sana.
Shida tuna wanatake very entitled na wasiojua lolote kuhusu maisha. Imagine mtu akikutana na wewe anakuonyesha kuwa yeye hali vyakula vya kawaida kama ugali maharage,ugali dagaa matembele,hawali mihogo,na lazima atoke kila weekend, kila siku ale anachotaka kutoka mtandaoni ambavyo gharama yake huanzia 15,000 kwenda juu.
Hawataki kujishughulisha wakiwa na mwanaume ila anataka apange matumizi na kufilisi pesa ya mwanaume wake.
Hawajui wanachotaka yet wana mashariti ya vitu vingi wanavyotaka kufanyiwa na mtu m'moja. Hawapendi kuongozwa yet hawana direction ya maana kuhusu maisha na kila siku wanahoji kwanini hawaelekezwi.
Nadhani dawa ni kuwaacha walalie kitanda wanachokitandika. Tukianza kuongea lugha moja,maybe wataanza kurudi mstarini.
Tukae tuangalie tuNachoka kwakweli,Kila lifanywalo na mdada wa kibongo ni kujifichia umalaya 🙌
SalamaHabari yako
Ni jambo jema ikiwa unaendelea salama mdada mzuri…nimeona nikujulie hali tu.Salama