Msukumakizazi
JF-Expert Member
- Jan 13, 2017
- 2,596
- 2,079
Wake zetu wengine wana mambo ya ajabu, mengine wanayaonyesha mbele ya mabeki3, mabeki wanaona ni fursa hiyo, maana saa ingine anamuona mama anachezea almasi anaamua kuichukua na kuihifadhi sehemu salama.mkuu jamaa anamdharau sn mkewe.......
kwa beki 3? kwaio beki 3 anajua udhaifu wa maza house bila shaka!!!..... mbaya sn hii
kwahiyo kama baba anao mama anatangulia kufa?We utakua na UKIMWI kwanini umejuaje mkeo atakufa akuache?
mhhh!!wewe ni mhalifu kama wahalifu wengine. Unamlaje hausigel wakati mkeo yupo? Huyo bint anahitaji kuolewa awe na maisha kama unavoishi na mkeo. acha ukatili kwa wanawake
wengi ni wastaarabu.5 years na huyo dada hajaonesha dharau kwa mama mjengo au unambaka na kumtishia??
duhhh,, hongera mkuu.Najipongeza huu mwaka wa 6 niko na mke wa mchungaji nakula mema ya nchi[emoji16][emoji16][emoji16]
Mke wa mtu mtamu cha wizi kitamu ndie ananifanya nisifikirie kuoa
Hapo kuna point, lakini wanawake waliyo buys na kazi na wanapokuwa kitandani wanajidai wamechoka au anafanya mapenzi kama vile hana hisia, ndiyo hupelekea mume kutembea na beki tatu, na Mara nyingi anayefanya hivyo hufanya kumkomoa mke wake,Huyu sio kumkosea tu mkewe hununua na malaya wa ambiance, hataki ku solve matatizo yake yeye ni uhuni tu. Mi kati ya kosa linaloweza vunja ndoa ni mume kutoka na housegirl what if akinogewa na mapenzi ategeshe sumu kwa familia Ili abaki na mume. Kukiri baadhi ya vtu hadharani ni udhaifu mkubwa
Hapo kuna point, lakini wanawake waliyo buys na kazi na wanapokuwa kitandani wanajidai wamechoka au anafanya mapenzi kama vile hana hisia, ndiyo hupelekea mume kutembea na beki tatu, na Mara nyingi anayefanya hivyo hufanya kumkomoa mke wake,
Na kumbuka uzuri wa hawa beki tatu unashika muda wowote hata awe jikon au anafua anakuja tu, huwa hawakatai! Ila kwa hawa wake visirani acha wakome tu!
Ni kweli no one is perfect huwezi linganisha beki Tatu na mkeo au malaya huo ni utahira mie nime date na waume za watu walikuwa matured nikiona anaanza kumdharau mkewe namshushia na mahusiano yanakufa. Tamaa za kimwili zisitufanye kuzalilisha wenza wetu tena waliotupa heshima za watoto. Mie sipendi kabisa wajinga wa hivo wallah. Na huyo beki Tatu mke akifa naye anaanza ujeuri, wa hatari na hana uchungu na wewe kabisa mana kumtumia kingono huwa hawapendi.Dahh hapo sister umeongea point siku zote mchepuko huwa anangalia hisia zako kwa mkeo ukimzarau na yeye anamdharau
Sasa unaomba atangulie akijua hilo atamuwekea sumu ili atangulie kweli
Hapo umechemka bro jirekebishe
Kumbe umekuja kuanika siri zetu huku hadharani, ngoja nikuandalie talaka ili usidate nami tena maana sikukutuma uje ujisifie huku kuwa ushadate na mimi Mume wa Mtu.Ni kweli no one is perfect huwezi linganisha beki Tatu na mkeo au malaya huo ni utahira mie nime date na waume za watu walikuwa matured nikiona anaanza kumdharau mkewe namshushia na mahusiano yanakufa. Tamaa za kimwili zisitufanye kuzalilisha wenza wetu tena waliotupa heshima za watoto. Mie sipendi kabisa wajinga wa hivo wallah. Na huyo beki Tatu mke akifa naye anaanza ujeuri, wa hatari na hana uchungu na wewe kabisa mana kumtumia kingono huwa hawapendi.
Huwa siamini kama mwanaume rijali akashindwa kumkojoza mkewe makae muongee, unajua kinachowaponza wanawake ni kujifanya mnafanana wakati huwa mpo tofauti sana!Na mimi kama mke nakuachia kabisa huyo beki Tatu wako nyumba Ili mu enjoy vzuri bora nijali kazi yangu na wanangu kuliko mwanaume asiye jiheshimu unalaje na msaidizi woi. Mbona nyie unakuta hamuturizishi tunawavumilia tu huku hamjui kutukojoza kabisa.
Huwa siamini kama mwanaume rijali akashindwa kumkojoza mkewe make muongee, unajua kinachowaponza wanawake ni kujifanya mnafanana wakati huwa mpo tofauti sana!
Sasa kama yeye hisia zimehama kwanini asijilie beki tatu, si mnasema nyama moja bucha tofauti,Wengi wa wanaume wahuni hawajuagi mapenzi wala kujali familia. Sasa utembee na beki Tatu eeeh k yangu huoni milele. Mwanaume mjua mapenzi hata aombi unamtega tu daily upate kitu hamna haja ya kutumia nguvu.
Sasa mimi nihangaike nini na asiye jielewa jamani nakuacha hata ukibaka kuku. Na ukiona hivo mkeo kapata anaye mjali huko nje ndo mana hakupi wala hakujali sasa wewe wa fikiria wa mkomoa kumbe hisia zilishahama siku nyingi hata hajali
Kumbe umekuja kuanika siri zetu huku hadharani, ngoja nikuandalie talaka ili usidate nami tena maana sikukutuma uje ujisifie huku kuwa ushadate na mimi Mume wa Mtu.
Sasa kama yeye hisia zimehama kwanini asijilie beki tatu, si mnasema nyama moja bucha tofauti,
kwanza akila beki tatu anabana matumizi ya kuendelea kuwajengea watoto wake.
Shunie! [emoji23] [emoji23] [emoji23] miaka 5 mke usigundue kitu huyo mke galasaHappy birthday kwenu mkuu we na house girl wako muendelee kuzini mpaka mkeo awafumanie
Anamwamini kumbe mke mwenza madhaifu yote anayajua ya mother house duuNdio shida ya kukaa na h.gal mda mrefu! Lazma kutakuwa na kitu! Me akikaa kwangu mwaka mmoja inatosha! Ni wasiri Sana na wana roho ngumu mno!
Hapo pengine madam anampenda na kumwamini kwelikweli!
Happy fifth years anniversary mkuu, kila la kheri ila usisahau hakuna marefu yaliyokosa ncha.Tulianza haka kamchezo Disemba 2013 sasa tumetimiza miaka mitano kamili. Asante Da Teddi. Endapo Bi. Mkubwa akatangulia basi nafasi I wazi.
**nawasihi msijaribu mapenzi na mabinti hawa ni watamu ajabu na ukizingatia na hawa wake zetu full visirani
unajisifia kudate waume za watu???........Ni kweli no one is perfect huwezi linganisha beki Tatu na mkeo au malaya huo ni utahira mie nime date na waume za watu walikuwa matured nikiona anaanza kumdharau mkewe namshushia na mahusiano yanakufa. Tamaa za kimwili zisitufanye kuzalilisha wenza wetu tena waliotupa heshima za watoto. Mie sipendi kabisa wajinga wa hivo wallah. Na huyo beki Tatu mke akifa naye anaanza ujeuri, wa hatari na hana uchungu na wewe kabisa mana kumtumia kingono huwa hawapendi.
unajisifia kudate waume za watu???........
aisee wanawake mkoje lakn?