Michael Clifford ana uwezekano wa kuweka wazi majina ya wahusika wote ambao alifanya nao online conference ya kumpiga risasi Lissu

They think kila kitu ni politics za bongo kumbe ngoma ipo kwa mabeberu huko facts speak more..
 
Acha hizo Mbowe ndiye aliyemsaidia majeruhi Lissu kwanza na kukataa apelekwe Muhimbili ambapo kulikuwa na tetesi Watu Wasiojulikana wangemaliza na kufanya mipango kwenda Nairobi alipoponea.
Hujui lolote we bumunda
Anajuwa kila kitu anafanya kusudi tu ili umshambulie yeye na utoke kwenye mjadala.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…