TANZIA Michael Ngaleku Shirima mmiliki wa Precision Air afariki dunia

Mi nasubiri za kuona chanzo cha utajiri wake ni nini? Maana kama Mzee Edwin Mtei aliiba pale BOT etc, huyu lazima kuna chanzo ambacho siyo sahihi
Shirima wizi wake nauunga mkono ingawa sipendi wezi, unajua hata Nyerere kuna siku alisifia wezi wa mbolea. Kuna mbolea ilikuwa inatolewa kwa ruzuku wanaopewa wanalima hovyo jamaa mmoja akaiba akalima kwa usahihi akapata mavuno mengi na kukidhi haja ya serikali ya uzalishaji wa chakula.

Tuseme mzee Shirima aliibia shirika la Afrika Mashariki, ila hata asingeiba ndege za hilo shirika ziko wapi leo hii? Badala yake asingeiba tusingekuwa na Precision Air na hilo shirika lingevunjwa vilevile tukaambulia historia.
 
Alale mahali pema anapostahili.

NOTE: Hakuna tajiri anayeweza kukueleza kiini cha utajiri wake hata siku moja.

Nimeona kagusia kuhusu kuuza kahawa, udereva wa malori n.k ilikuwa hatua nzuri pia
 
utabaki kusema wachagga wezi...huku waswahili wakiuza bandari

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Rip!pole KWA FAMILIA,matajiri wazawa wanaitwa sana katika zama za muongo mpya!!!

Matajiri wa Bongo hawana MAISHA kabisa AISEH!wanaitwa sana!labda Mungu anawapenda ZAIDI!
Unakosea sana. Mtu kufa akiwa na miaka 80 ni habari? Ameshapita expectancy age na ameshainjoi sana tu maisha.!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…