Michango ya harusi imekwama, nawezaje kufanya sherehe kwa bajeti ndogo isiyozidi milioni 5?

Nje ya mada kidogo: vijana oeni wanawake mliokutana nao wakiwa bikira. Hawa hawana mambo mengi wanachotaka ni mume tu wakaanze pamoja familia yao. Unatoa tu mahari, unachukua mke, shughuli imeisha

Lakini street veterans lazima wang'ang'anie kuolewa na msafara wa matarumbeta kwa sababu kwao sherehe ya harusi ni jukwaa la kuwashushua maex wake na mashoga zake waliosema haolewi
 
Uliupiga mwingi hapa, ngoja nichukue hizi ''mbwinu''
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…