Unataka mwenza au sherehe?Harusi ni mwanzoni wa Septemba, wageni ni 250, lakini 80% bado hawajachanga. Hao 20% waliomaliza wachache ila wengi wamepunguza michango.
Nataka kufanya sherehe ndogo nzuri bila presha kwa bajeti isiyozidi tsh milioni 5-6.
Naomba ushauri wenu wakuu.
Yani watu wachange, halafu kwenye nyama wakute 0?Milioni 5 yote iende bure alafu uanze kuhangaika kutafuta vibarua vya kufanya. Achana na sherehe, hiyo 5M mfungulie biashara mkeo.
5m mbona ni nyingi sana BWASHEEE? Yaani ilitakiwa hapo hela ya kukodi bajaji ya kuwatoa home kwenda kanisani na kuwarudisha baaasi.Harusi ni mwanzoni wa Septemba, wageni ni 250, lakini 80% bado hawajachanga. Hao 20% waliomaliza wachache ila wengi wamepunguza michango.
Nataka kufanya sherehe ndogo nzuri bila presha kwa bajeti isiyozidi tsh milioni 5-6.
Naomba ushauri wenu wakuu.
Engelea kuhamasisha na kufuatilia ahadi unazozijua,kawaida kila mtu ana mambo mengi,na anatamani apunguze yale yanayomzonga zaidi ila nia ya kukuchangia anayo hivyo kikiubwa usikate tamaa na usichoke kumkumbusha kila mmoja iwe kwa kumwona ana kwa ana ama kupitia watu wake wa karibu na wale wanaokusaidia kwenye hamasaHarusi ni mwanzoni wa Septemba, wageni ni 250, lakini 80% bado hawajachanga. Hao 20% waliomaliza wachache ila wengi wamepunguza michango.
Nataka kufanya sherehe ndogo nzuri bila presha kwa bajeti isiyozidi tsh milioni 5-6.
Naomba ushauri wenu wakuu.
Hii ni categorical syllogism ya kibabe πCha kwanza acha kuwaza sifa
Cha pili acha kutafuta heshima mtaani kwa sherehe
Cha tatu sio lazima uweke watu wengi kwenye sherehe
Cha nne sio lazima ufanye sherehe
Katika comment zote hii akiichukulia serious hata huyo mwanamke atajua mwanzoni tu ni mke wa ukweli au mbuzi wa gunia.Kama ni garasa upinznai utakuwa wa hali ya juu mno!!Milioni 5 yote iende bure alafu uanze kuhangaika kutafuta vibarua vya kufanya. Achana na sherehe, hiyo 5M mfungulie biashara mkeo.
ππππ₯π₯π₯ stop vayulence mkuuUlitumia karibu million 8 huyu yeye 5 million nani katumia pesa nyingi kati yenu ?
Wageni wote hao wa nini na hela huna yanini kujipa presha zisizo na maana yeyote.alika watu 50 tu wanatosha kwa budget yako..Harusi ni mwanzoni wa Septemba, wageni ni 250, lakini 80% bado hawajachanga. Hao 20% waliomaliza wachache ila wengi wamepunguza michango.
Nataka kufanya sherehe ndogo nzuri bila presha kwa bajeti isiyozidi tsh milioni 5-6.
Naomba ushauri wenu wakuu.
ππππ¨π¨π¨Nje ya mada kidogo: vijana oeni wanawake mliokutana nao wakiwa bikira. Hawa hawana mambo mengi wanachotaka ni mume tu wakaanze pamoja familia yao. Unatoa tu mahari, unachukua mke, shughuli imeisha
Lakini street veterans lazima wang'ang'anie kuolewa na msafara wa matarumbeta kwa sababu kwao sherehe ya harusi ni jukwaa la kuwashushua maex wake na mashoga zake waliosema haolewi
Mkuu ukiachana na michango ya ndugu jamaa na marafiki wewe umejipangaje kwanza ktk harusi yakoHarusi ni mwanzoni wa Septemba, wageni ni 250, lakini 80% bado hawajachanga. Hao 20% waliomaliza wachache ila wengi wamepunguza michango.
Nataka kufanya sherehe ndogo nzuri bila presha kwa bajeti isiyozidi tsh milioni 5-6.
Naomba ushauri wenu wakuu.
Yaani unapanga matumizi bila hela. ?Harusi ni mwanzoni wa Septemba, wageni ni 250, lakini 80% bado hawajachanga. Hao 20% waliomaliza wachache ila wengi wamepunguza michango.
Nataka kufanya sherehe ndogo nzuri bila presha kwa bajeti isiyozidi tsh milioni 5-6.
Naomba ushauri wenu wakuu.