Asante sana kwa mrejesho mzuri na wenye kutia moyo. Unatupa nguvu ya kuzidi kuwahudumia wengine kwa uaminifu na weledi mkubwa. Nitafurahi zaidi nikiona pictures za miche, BlessedKwakweli nimefurahia huduma yenu mlinitumia Dodoma ,miche ilipofika ndo mkanambia nilipe kwa kweli muwaaminifu sana ,na miche yangu yote IPO bombs kesho nitapiga pic nikuonyeshe mkuu
Samahani boss, miche ya chikichi tuliyokuwa nayo sio ya kisasa, ni ya kienyeji. Inazaa baada ya miaka 7-8 na bei ya mche 2500. Karibu sanaNahitaji Miche ya kisasa ya chikichi/mawese kama ipo naomba unipe bei inazaa baada ya muda gani
Samahani boss,miche ya chikichi tuliyokuwa nayo sio ya kisasa,ni ya kienyeji.Inazaa baada ya miaka 7-8 na bei ya mche 2500.Karibu sana
Vanila ya mbegu mkuu unapewa mbegu unaenda kupanda mwenyewe direct kwenye udongo.Ila ambayo ipo kwenye pots inakuwa tayari ni mche kamili unaupanda.Naomba utofauti wa vanila ya mbegu na pot, komamanga ni aina gani ? Grafted ? Inazaa baada ya muda gani