Lily Tony
JF-Expert Member
- Feb 6, 2019
- 3,198
- 4,191
- Thread starter
- #61
Asante sana kwa mrejesho mzuri na wenye kutia moyo. Unatupa nguvu ya kuzidi kuwahudumia wengine kwa uaminifu na weledi mkubwa. Nitafurahi zaidi nikiona pictures za miche, BlessedKwakweli nimefurahia huduma yenu mlinitumia Dodoma ,miche ilipofika ndo mkanambia nilipe kwa kweli muwaaminifu sana ,na miche yangu yote IPO bombs kesho nitapiga pic nikuonyeshe mkuu