INAUZWA Miche ya kisasa ya matunda inauzwa

INAUZWA Miche ya kisasa ya matunda inauzwa

Kwakweli nimefurahia huduma yenu mlinitumia Dodoma ,miche ilipofika ndo mkanambia nilipe kwa kweli muwaaminifu sana ,na miche yangu yote IPO bombs kesho nitapiga pic nikuonyeshe mkuu
Asante sana kwa mrejesho mzuri na wenye kutia moyo. Unatupa nguvu ya kuzidi kuwahudumia wengine kwa uaminifu na weledi mkubwa. Nitafurahi zaidi nikiona pictures za miche, Blessed
 
Nahitaji Miche ya kisasa ya chikichi/mawese kama ipo naomba unipe bei inazaa baada ya muda gani
 
Nahitaji Miche ya kisasa ya chikichi/mawese kama ipo naomba unipe bei inazaa baada ya muda gani
Samahani boss, miche ya chikichi tuliyokuwa nayo sio ya kisasa, ni ya kienyeji. Inazaa baada ya miaka 7-8 na bei ya mche 2500. Karibu sana
 
Mvua zimeanza kunyesha kwa baadhi ya maeneo, ni muda mzuri wa kupanda miche ya kisasa ya matunda. Unavuna ndani ya muda mfupi. Shukrani kwa wanaoendelea kutuamini na kupata huduma zetu. Ukinunua miche kwetu unapata ushauri na muongozo wa jinsi ya kupanda miche kwa usahihi ili kupata matokeo mazuri. Karibu sana.
 
Mama miti kwanza hongera upo vizuri!

Nahitaji miche ya cadamia ila nipo mwanza nina wasiwasi kama itastawi vizuri maana naiona sana lushoto milimani huko kwenye baridi halafu huku sijawahi kuiona. Nahitaji ushauri wako Mama miti.
 
Naomba utofauti wa vanila ya mbegu na pot, komamanga ni aina gani ? Grafted ? Inazaa baada ya muda gani
Vanila ya mbegu mkuu unapewa mbegu unaenda kupanda mwenyewe direct kwenye udongo.Ila ambayo ipo kwenye pots inakuwa tayari ni mche kamili unaupanda.

Komamanga yetu ni grafted boss.

komamanga inaanza kuzaa baada ya mwaka 1 na nusu.Karibu sana
 
Back
Top Bottom