Apple inafanya vizuri kwenye mikoa au maeneo yenye baridi,au yenye Asili ya miinuko.Mna apple? Na kama lipo
Linasurvive Dar,?
Thanks dearApple inafanya vizuri kwenye mikoa au maeneo yenye baridi,au yenye Asili ya miinuko.
Hivyo,ukipanda apple Dar itastawi lakini kutoa Maua kisha matunda ni changamoto sababu ya hali ya hewa.
Mikoa au maeneo ambayo apple hustawi vizuri ni Njombe,Arusha,Kagera,Tanga(Lushoto),Morogoro(baadhi ya maeneo).
Service 👌😍I appreciate you d ♥️