INAUZWA Miche ya kisasa ya matunda inauzwa

Mama miti kwanza hongera upo vizuri!

Nahitaji miche ya cadamia ila nipo mwanza nina wasiwasi kama itastawi vizuri maana naiona sana lushoto milimani huko kwenye baridi halafu huku sijawahi kuiona. Nahitaji ushauri wako Mama miti.
Kaka miti asante kwa pongezi na kuni appreciate.
Mimi ni mwenyeji wa Lushoto milimani hivyo zao hili ninalifahamu vizuri,lipo sana maeneo ya Sakarani kwa mapadri😊.
Zao hili lina soko sana hasa kwa nchi jirani ya Kenya,,kg 1 ya kadamia ni sh elfu 20 na hata mafuta yake yana soko.
Kenya pia zao hili lipo lakini wanapendelea zaidi mali ya Tz sababu Cadamia za Tz zinalimwa bila kutumia madawa,ni za asili na zina mafuta mengi.

Cadamia zinastawi maeneo yenye baridi na mvua za kutosha,pia ardhi iwe na unyevu.
Miche yetu inaanza kuzaa baada ya mwaka 1 mpaka miaka 2.
Karibu sana boss wangu
 
Asante kwa maelezo yako, tutawasiliana angalau nijaribu miche mitatu nione matokeo ya ukuaji. Nilipewa Cadamia zilizochomwa then zikatolewa lile ganda la juu... walah ni tamu sana
 
Karibu sana mkuu, muda na saa yoyote niko available, Pm au hata direct kwenye namba zangu.
 
Mkuu miti ya Apple/Tofaa Bei gani? Na inachukua mda gani kutoa matunda?
 
20201003_120149-1.jpg

Miche ya Giant passion ,mmoja sh 5000
 
Hiyo miche ya limao ni ile ya muda mfupi au muda mrefu?Pia nahitaji kujua kwa ekari moja miche ya limao inaingia mingapi?(na spacing yake tafadhali).
 
Karibu sana
 
Back
Top Bottom