Huu Uzi wa zaman Sana ulikupita?Kwa hiyo unakula mtu na dadake, pond kama pond mzee baba uko next level![emoji39]
Tahadhari Ni muhimu dada angu,Kuna maradhi Deeppond.
Huenda niliusoma sikuweka kumbukumbu.Huu Uzi wa zaman Sana ulikupita?
Huyu mchepuko aambiwe ukweli au aachwe hivyo hivyo aendelee kujimwambafai?
Nakumbuka mwaka Jana February niliwai leta kisa humu Cha kumchapa makofi mchepuko wangu. https://www.jamiiforums.com/index.php?posts/38182399 Ebana eeh, Yule mchepuko mwezi machi katikati tulikuja rudiana bhana, Mazingira ya kurudiana ilkua baada ya mwezi hivi wa ukimya baina yetu Udhaifu wangu...www.jamiiforums.com
Sent using Jamii Forums mobile app
Nadhan tatzo Ni la binti husika,Kweli Mkuu
Pesa ni kitu kingine kabisa , akiangalia huyo jamaa hana pesa wala nini .. anamdharau .
Ha ha ha.... changamoto za Dunia dada angu[emoji4]Mambo yako na michepuko yako yananiachaga hoi..
Ooh fresh,Huenda niliusoma sikuweka kumbukumbu.
Ha ha ha....Hamna nisingemfanyia vile, najua jins gan mapenz yanauma.Bado sana mpaka apigwe tukio kubwa
Sasa hapo wwe kakukuta at least huna papara angekula nakoz za kutosha mbele ya demu wake na aibu juu angebaki kotoa kamasi kama kondoo tuu
Upo sahihi , binti huyo ndo ana shida kwa upande mwingine na vile bado ni mdogo haelewi .Nadhan tatzo Ni la binti husika,
Mi ningejua Yuko na jamaa Wala nisingeenda kuwaharibia maana najijua kua mm pale nasuuza rungu TU.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ujue mkuu,Sio kampenda pond,pond anatoa huduma,kijana inaonyesha hana pesa ya kutosha.wanawake wana tamaa hivyo anaona awe na pond ili maisha yawe nafuu.
Sema kakijana kapole,angekuta kijana mkorofi kingeeleweka. Mapenzi hayana mbabe.
[emoji23][emoji23][emoji23] Dem anaangalia maslahi na akiachwa na huyo jamaa atateseka mno.Mtaalamu wa uchepukaji katika ubora wake.
Sahii kabisa,Upo sahihi , binti huyo ndo ana shida kwa upande mwingine na vile bado ni mdogo haelewi .
Jamaa yupi,[emoji23][emoji23][emoji23] Dem anaangalia maslahi na akiachwa na huyo jamaa atateseka mno.
Kijana mweupe ww Dem kakupendea kwakua unamwezesha lkn akimpata Alie single mwezie anaye jiweza anakukataa[emoji23][emoji23][emoji1373]
Sahii kabisa,
20yrs sio umri wa binti wa mjini tena wa chuoni kua na serious commitment na mwanafunz mwenzie Kwny mahusiano.
Yaan nachukulia bado Ni umri wake wa kuruka ruka tu Kama maharage mabichi kwny sufuria.
Ukizingatia ndo Kaingia jijini hana MDA sana akitokea mkoani, ulimbukeni nao bado upo upo mwingi TU kujiona keshafika mjini[emoji4]
Sent using Jamii Forums mobile app
Mabinti wa siku hizi wanajali sana mkate/ pesa kuliko future zao...so sad
Mmmh jamaa ana kosa gani?pesa zako ndo zinakupa jeuri..
huo ni uonevu wa waziwazi
Mi ndo nikipaswa kumkataa maana nilimtaka bahat mbaya Kama dharura TU.Kijana mweupe ww Dem kakupendea kwakua unamwezesha lkn akimpata Alie single mwezie anaye jiweza anakukataa[emoji23][emoji23][emoji1373]
Wanaukoo mmoja kwaupande wa mama ake mamaJ.Huyu ni binti cousin wa mama J ,au tumbo moja ?
Ushamba ni mzigo aisee
Ila wengine huwa wanafunga ndoa wakiwa chuo ...kama jamaa yupo humble hivyo ,binti huyo hamfai .