Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 32,406
- 55,148
Proxy ipi washatangaza kuondoa jeshi Lebanon wamefanikiwa israhell bure kabisaWenzako wamejaribu kuwasoma response ya Defence system yao inafanyaje kazi katika uhalisia. Wameshawasoma Kitakachowafuata itakuwa balaa.
Ninavyoona atamalizana kwanza Proxies kabla ya kuingia full kwa Iran
Ndege zilirusha makombora zikiwa kwenye anga la Iraq hazikuingia kwenye anga la Iran.
Wazidungue zilishambulia tokea wapi madhara ya kuishambulia kwa ndege mia wala yasingetaka siku tatu au mbili ngoja tusubiri matokeo ila neta paka kama ndio retaliation aloahidi hii kawapiga sana watu waloamini israhell mweupe SanaaaaaaaWaambie Iran waonyeshe wreckages za hayo makombora ya Israel. Huwezi pata matokeo sasa hivi subiri siku mbili au tatu tuone satellite images maana Israel imeshambulia military targets na hakuna raia au waandishi wa habari wanaweza rekodi.
Iran inazuia missiles kwa AA guns kama tupo vita ya pili ya dunia. Iran hawana mfumo wa kuzuia makombora sawa hilo tunajua, vipi hizo ndege za Israel walizodungua ziko wapi?
Wanashabikia ila hawajui mkondo wa Hormuz ndio unapitisha mafuta na gesi yote na ipo hapo IranProxy ipi washatangaza kuondoa jeshi Lebanon wamefanikiwa israhell bure kabisa
Tumia akili basi hata ya kuzaliwa!Wataelewa sasa yaan ndege 100 kwa anga lako
hakuna ndege iliyoingia ktk anga ya IranNdege zinaingia, zinashambulia, zinatoka unharmed halafu unasema Iran imeishangaza dunia.
Ni kweli imeishangaza dunia kwa kutokuwa na radar makini.
Kwa tasiri nyingine myahudi ana uwezo wa kuingia atakavyo Iran.
Kwa mtu mwenye akili lazima ashangae
Huyu jamaa mimi namuitaga Zuzu moja la Kibera huwa lina kurupuka likijua JF yaleo ndio ilee ya Mwaka 2014 linadanganya watu na wanaliona Lijuaji kumbe hamna kituUnatumia picha za iran ilivyo ishambulia Israeli kudadeki πππππππ
Ndege za myahudi zimefika na mashambulizi yamefanywa na Iran imekiri peupee kuwa uharibifu umetokea
ila wewe kwa upeo wako unasema
Mifumo ya ulinzi wa anga ya Iran ilivyoishangaza dunia leo!
hii bila shaka itakuwa dunia ya maamumaz.
Hana hata aibuHuyu jamaa mimi namuitaga Zuzu moja la Kibera huwa lina kurupuka likijua JF yaleo ndio ilee ya Mwaka 2014 linadanganya watu na wanaliona Lijuaji kumbe hamna kitu
Leo watatumia mpaka za Hamas.Unatumia picha za iran ilivyo ishambulia Israeli kudadeki πππππππ
Mkuu, tunakutegemea sana ulete uchambuzi bora kuliko huu. You're way better than this. Halafu unatuuliza swali kweli?Waambie Iran waonyeshe wreckages za hayo makombora ya Israel. Huwezi pata matokeo sasa hivi subiri siku mbili au tatu tuone satellite images maana Israel imeshambulia military targets na hakuna raia au waandishi wa habari wanaweza rekodi.
Iran inazuia missiles kwa AA guns kama tupo vita ya pili ya dunia. Iran hawana mfumo wa kuzuia makombora sawa hilo tunajua, vipi hizo ndege za Israel walizodungua ziko wapi?
Hehehe tena watalia na kusaga majinoWanashabikia ila hawajui mkondo wa Hormuz ndio unapitisha mafuta na gesi yote na ipo hapo Iran
Wakipandishiwa bei ya nauli hata shilingi 10 tu utawasikia wanavyolia
ππ€£ππ€£S
Sawa muiran wa katumba
Nafikiri kuna tatizo kubwa katika elimu yetu! Yaani wanaamini ndege 100 ziliingia Iran!!!!hakuna ndege iliyoingia ktk anga ya Iran
Iran anasema wanajeshi 2 wameuawa!IRAN wana mifumo bora ya ulinzi shambulizi la ISRAEL limefeli pakubwa!!
Yaani hata nzi hajafa, hakuna majeruhi wala uharibifu wowote hakuna raia alokwenda kwenda mahandaki
Hakuna nchi iloenda kumsaidia Iran kama ambavyo Israel alisaidiwa na nchi 30 kuyatungua makombora ya Iran siku zilizopita
Hili shambulizi la Israel limeonyesha udhaifu mkubwa kwa dola la Israel dhidi ya Iran
We imagine Iran katumia mfumo mmoja tu wa Bavar 373 kuzuia makombora yote jamaa wametungua yote 99.99%
Kamlipuko kadogo kalionekana karibu na barabara baada ya kombora la mfumo wa ulinzi wa makombora ya Iran kufail na kulipuka.
Nimeshangazwa na Waajemi, kweli hawa sio waarabu kabisa pamoja na vikwazo vyote lakini wameprove kuwa wana mifumo bora ya ulinzi kabisa!!
Sote tunafahamu mashambulizi ya Israel huwaga ni makubwa na yenye kuleta madhara, Gharama ya kutuma ndege 100 kwenda kupiga tehran iko wapi?Maana wameishia kurusha makombora tu yakadakwa yote na Iran
Halafu hamna raia wa Iran alokwenda kwenye mahandaki hata mmoja tehran walikua walikua tuli wamelala zao!! Wakati huko Israel huwa watu hawalali ni kukaa kwenye mahandaki tu.
Hili tumejifunza nini kama taifa la Tanzania!! Hili shambulizi la Israel limejidhihirisha na kuonyesha Israel level zake na Palestina na Lebanon tu na siyo level za Iran
Gharama walotumia Israel kuishambulia Iran wangeitumia kulipua kambi za Iran huko Syria ingeleta ufanisi, lakini kitendo cha kwenda Iran na kushambulia na kutoka kapa ni aibu kubwa
My take: Iran haijaribiwi, shambulizi la Israel limefeli pakubwa, nakumbuka iran ilivyoshambulia Israel April 2024 Israel ilijibu kwa kutuma drone mbili huko Isfahan na zikaishia kutunguliwa.Israel kwa muajemi bado sana ana miaka mingine 200 ya kujipanga kumfikia muajemi!!
View: https://x.com/Nadira_ali12/status/1850005156286390481?t=tmz64j7ABD3MsCsLHC-nxg&s=19
ACha kupanikkπππππHujielewi hata
Uchambuzi wa nini na satellite images hatuna. Unataka tuongee kishabikiMkuu, tunakutegemea sana ulete uchambuzi bora kuliko huu. You're way better than this. Halafu unatuuliza swali kweli?
π¬π¬π¬ Wanauhungu kuliko wa Iran wenyeweππ€£ππ€£