Mifumo ya ulinzi wa anga ya Iran ilivyoishangaza dunia leo!

Umejiona umetumia akili saana, jinsi Iran ilivyopitisha magimbi yake kwenda Israel ndio Israel imetumia anga la Jordan kupitisha ndege zake kwenda kushambulia iran
Tuache ushabiki wa roho za watu wakuu bora ushabikie yanga leo kuliko ushabiki wa roho za watu, alichofanya Israeli Hana tofaut na alichofanya Iran yote ni kuepusha kutanuka kwa hii vita nimefurah sana aina ya shambuliz walilofanya Israel maana ni la kibusara zaidi
 
Ndege zinaingia, zinashambulia, zinatoka unharmed halafu unasema Iran imeishangaza dunia.
Ni kweli imeishangaza dunia kwa kutokuwa na radar makini.
Kwa tasiri nyingine myahudi ana uwezo wa kuingia atakavyo Iran.
Kwa mtu mwenye akili lazima ashangae
Asa ndege zote 100 alafu matokea yake nn.
Kwani hizo ndege zilienda kutalii ?
Hadi wanapeleka ndege 100 hapo walitegemea kulipua maeneo mengi na kuleta mazara makubwa
Aibu waliopata heri wangepeleka vindenge viwili hata
 
Ndege 100 ni busara ? Ficheni aibu yenu
 
Kama ndege 100 ziliingia anga ya Iran na kutoka salama basi ulinzi wa Iran ni dhaifu sana!!

Kwa maana rahisi ni kwamba Iran inaweza kupigwa mahali popote.

Ila Kwa sababu anayeongea siyo wewe bali ni dini ya Mnyazi basi utaendelea kujipiga kifua kama Zuzu
 
Asa ndege zote 100 alafu matokea yake nn.
Kwani hizo ndege zilienda kutalii ?
Hadi wanapeleka ndege 100 hapo walitegemea kulipua maeneo mengi na kuleta mazara makubwa
Aibu waliopata heri wangepeleka vindenge viwili hata
Huna akili
 
Wanakondoo mna vituko xnaa
Akati Iran kaishambulia Israel ..marekani na washirika wake wakajitaidi kuyazuia lakin yakalenga target
Jana zamu ya Israel na washirika wake wametuma ndege 100 kushambulia Iran ila mwamba kazuia mashambulizi .
That means Iran anajua kuzuia na kushambulia pia kwan vyote kafanya bila presha wala wananchi wake kuingia kwenye mahandaki kama wanajelusalemaa
 
Hun
Huna akili Iran inavyoteseswa hivyo kila siku japo wanaficha nyuma ya watoto na wajawazito
 
Vita ya 2011 ya wenyewe kwa wenyewe ndio ilikua na lengo la kuchota wese na wamefanikiwa ila mashambulizi ya mara kwa Mara ni kuondoa proxy za Iran acc to israhell wamefanikiwa kwa uoni wako
 
Meli zinapita pale ambapo Houthi walisema hazitapita hili ndio lakujadili
 
Haya madude yanashuka bila kuzuiwa na chochote....
Mbona umeweka video ambayo ipo humu kitambo kipindi Iran ameishambulia Israel.

Watu wanataka video ya mashambulizi ya jana na madhara yake kama tulivyoona Iran akiishushia vitu vizito Israel tena live sio kuokoteza video za zamani kama unavyofanya.
 
Ndege 100 zipo kwenye anga lako na umeshindwa kudondosha hata moja na unasifia mifumo ya ulinzi ya Urusi
Hakuna ndege hata moja iliyosogelea anga ya Iran bali zimeeushia makombora zikiwa anga ya Syria na Iraq.

Yaani Iran inadungua hata sisimizi aliyepo maelfu ya maili angani halafu asidungue lindege likubwa kama la abiria?😂😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…