Migogoro ya kimahusiano: Janga kwa Wanawake Tanzania

Mimi nimeamua kubaki na Uzee wangu, maana nimegundua hata niki-act kuwa Kijana, mjukuu akisema anisusie, kazi ndiyo siwezi tena

Nitaishia kuwaomba Kiko na kuwasimulia hadithi za mwaka 47 tu πŸ™ŒπŸ€ͺ

Bora tumezeeka sasa πŸ€—
Mimi bado sijakataa tamaa, japo mwili unakataa ila najilazimisha tu.

Kinachonitia moyo ni huku kusifiwa na wajukuu, kuwa najua sana shughuli..., japo sijui kama ndo naambiwa ukweli au napakwa tu mafuta kwa mgongo wa chupa kwa kuwa huwa nahonga kama sina akili nzuri vile!

Sauti ya ndani inaniambia nisiopacha kujitutumua nitafia kifuani mwa mjukuu...πŸ₯²
 
Aiseee ajabu sana mali inafanya uue pyuu
 
Wakati wa enzi za jando na unyago ukatili haukuwepo mkuu?.
 
Akili ndio hunaga πŸ˜…πŸ™ŒπŸΌπŸ™ŒπŸΌ
 
Kwa vyovyote vile hakuna mwenye haki ya kumuua mwengine

Fateni sheria ikibidi
 
Kwa lugha nyepesi ni kwamba wanaume wengi hawana uwezo wa kudhiti hisia zao yani ni wadhaifu.
Me analomba michepuko zaidi ya wanne na bado analeta mahitaji home akiendelea kujali Ke na watoto kama kawaida ilihali Ke akichepuka mara 1 tu tayari dharau na picha za kila namna huonesha kwa mumewe.

Kati yao hapo nani ni dhaifu?

Au unadhani kwanini Ke ndiyo hurundikana kwa waganga wa kienyeji kutafuta namna ya kupumbaza Me ili wawe juu yao?

Ke dhaifu mno na mwepesi kurubunika, huamini katika uwongo zaidi ila si Me.

Me hana udhaifu kiviile kulinganisha na Ke aliye dhaifu kwa Me kupindukia.

Ubinadamu ni kazi/the humanity is work.
 
Wewe mwanaume ukiwa malayer huna haki kabisa ya kusema umalayer wa mwanamke acheni u selfish
 
Kwa lugha nyepesi ni kwamba wanaume wengi hawana uwezo wa kudhiti hisia zao yani ni wadhaifu.
Me analomba michepuko zaidi ya wanne na bado analeta mahitaji home akiendelea kumjali Ke kama kawaida ilihali Ke akichepuka mara 1 tu tayari dharau na picha za kila namna huonesha kwa mumewe.

Kati yao hapo nani ni dhaifu?

Au unadhani kwanini Ke ndiyo hurundikana kwa waganga wa kienyeji kutafuta namna ya kupumbaza Me ili wawe juu yao?

Ke dhaifu mno na mwepesi kurubunika, huamini katika uwongo zaidi ila si Me.
Me hana udhaifu Kwa ndiye dhaifu kupindukia.
 
Ndani ya ndoa kuua hakujaanza leo!!!!

Tena wanaoongoza kwa kuua ni wanawake!! wanawake wanaua sana wanaume si mijini wala vijijini ni vile mbinu bado hazijasanukiwa.

Mwanaume hakikisha ukianza kuchepuka humo ndani na mkeo akajuaa hata akisamehe hakikisha unakaa ki masta humo ndani .
 
Moja ya mambo ambao wanawake wanabebwa sana ni DNA na kuua wanaume wa ndoa sema hambebeki
 
Hakika ingenious mpone mstuue
Tutajifia wenyewe muda ukifika
Acheni kuwavimbia wanaume, hii mijadala ya kulaumiana haiwezi kumaliza haya matatizo, unaweza kufikiri watu wanajifunza kupitia haya matukio lakini hii ni kwa jinsia zote........

Wanaume tuwe wawazi, wanawake acheni viburi, acheni kuvimba, mnavimba kwasababu tukienda kwenye madawati ya jinsia mnashinda, Acheni kujificha kwenye mgongo wa jinsia, sisi wote ni binadamu tunapaswa kuheshimiana na kuchukuliana kwa busara na upole.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…