Migogoro ya kimahusiano: Janga kwa Wanawake Tanzania

Mauaji hayo asilimia kubwa ni mikoa ya nyanda za juu kusini na kanda ya ziwa,nashauri Elimu izidi kutolewa
 
Miaka ya nyuma migogoro ya ndoa iliamuliwa kwa busara ,busara zenyewe ni wanawake kulazimishwa kuvumilia mateso na manyanyaso. Hata sasahivi busara za aina hiyo bado zipo sana hapa nchini.
 
Kwa hiyo wewe kuweka hivyo vitwakwimu vya miaka 3 ndiyo umeona vinatosha kufanya conclusion?

Mambo yako tofauti na unavyofikiria mkuu.
Nimeweka vitakwimu vyangu vya miaka 3 iliyopita sijui kwa sasa hali ni mbaya kiasi gani

Sasa wewe mjuzi wa mambo na unaejua zaidi weka takwimu tujadili kwa hoja

Usilete dhana hapa
 
Miaka ya nyuma migogoro ya ndoa iliamuliwa kwa busara ,busara zenyewe ni wanawake kulazimishwa kuvumilia mateso na manyanyaso. Hata sasahivi busara za aina hiyo bado zipo sana hapa nchini.
Bado ukandamizaji upo
Mwanamke anaambiwa afie ndoa ili asiitwe single mother
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…