Migogoro ya kimahusiano: Janga kwa Wanawake Tanzania

Acha uongo
 
Lakini hicho bado sio kigezo cha kuua
 
Unafurahisha mkuu, mauaji mengi ya wanawake ndani ya ndoa yanatokea sehemu ambazo hata neno Beijing hawajawahi kulisikia, shule hata la saba hawajamaliza, yaani wale wanawake wa huko ndani ndani ambao mwanaume wanamuabudu kabisa kama Mungu,hao ndo wanaongoza kwa kuuwawa na habari zao huwa haziripotiwi popote.
 
Mzee mwenzangu mbona umeandika kwa upande wa makosa ya wanawake tu? Unataka kusema kuwa wanaume huwa hawasababishi maudhi yoyote kwa wanawake ambayo yanaweza kasababisha migogoro kwenye ndoa au mahusiano?
Nyie ni watakatifu umesahau
 
Wala sitashangaa.
 
Asilimia kubwa ushauri wadada wanautoa kwa mama zao kama wapo hai
Unakuta mama anamshauri mke wako waende kwa waganga wakuweke kwenye chupa 😂
Ukiugua watashauriana wachukue hati ya nyumba oyaah
 
Mzee mwenzangu mbona umeandika kwa upande wa makosa ya wanawake tu? Unataka kusema kuwa wanaume huwa hawasababishi maudhi yoyote kwa wanawake ambayo yanaweza kasababisha migogoro kwenye ndoa au mahusiano?
Nadhani nili-overlook hilo eneo

Suala la michepuko lipo kote kote, iwe Mwanaume kuchepuka ama mke kuchepuka

Hakuna anayevumilia kuona mwenza wake anachepuka.

Kwahiyo ni wito wangu, wote me na ke kutoruhusu michepuko baada ya kuingia kwenye ndoa
 
Wewe ulitaka huyo mama amwambie nini mwanae?
Kwamba akamlambe miguu mume wake ili aonekane mke mwema?

Kwa dunia ya leo, mwanamke anapaswa kufanya kazi na kujitegemea kiuchumi ili kupunguza uwezekano wa kuwa mateka wa wanaume wanyanyasaji

Ndoa haipaswi kuwa gereza, wala mwanamke kulazimika kuvumilia unyanyasaji kwa sababu hana uwezo wa kujitegemea

Tafuta sababu nyingine jenga hoja
 
Kushughulika na jamii ni kitu kinachosha sana kwasababu mabadiliko ya jamii yanaweza kuchukua decades.

Avoidance is best way sometimes.
 
Uko sahihi mtoa mada, ila nadhaani wengi wao wanawake ni wasahaulifu sana, maana wanauliwa kila siku lakini bado wanaendelea kuwa kwenye mahusiano huku wakiendelea na chiting.
Hatari sana
 
Uko sahihi mtoa mada, ila nadhaani wengi wao wanawake ni wasahaulifu sana, maana wanauliwa kila siku lakini bado wanaendelea kuwa kwenye mahusiano huku wakiendelea na chiting.
Hatari sana
Kuna haja ya Elimu pia nimesema kama mwanamke anaona viashiria vya ukatili akimbie kujiokoa

Pia wanawake wenzangu tupunguze tamaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…