Kosa la kumuapisha mtu bila ridhaa ya taasisi husika ni kosa kubwa sana !
Miguna miguna alimuapisha Odinga! Na karejea Kenya baada ya Muda mrefu kuwa Canada!
Je Kuna tishio lolote Lissu na Lema kurejea nchini? Au kuna Ujanja Ujanja Fulani ambao unawafanya kujificha kwenye kivuli cha exile ?
Britanicca
Yaani hawa watu mantiki ndogo tu hushindwa kuzing'amua. Yaani mtu aliyemiminiwa Risasi 38 na 16 zikampata na mpaka leo hakuna taarifa Rasmi iliyotoka kuhusu kushambuliwa kwake huko, unamlinganisha na mtu mwenye uraia pacha??..kama Raila ambaye aliapishwa na Miguna aliendelea kuwepo Kenya, na hakuchukuliwa hatua za kisheria, maana yake ni kwamba kilichomkimbiza ,au kilichomtoa Miguna Kenya, sio kosa la kuapisha " raisi " kinyume cha sheria.
Wakati anashambuliwa anayemkaribisha hakuwepo Tanzania. Mpaka sasa kafanya nini kujua waliomshambulia walikuwa ni kina nani?Kwani Lissu si alikaribishwa arudi Tz na mama,mnataka akaribishweje kwani?
Wakati anashambuliwa aliyemkaribisha hakuwepo Tanzania. Mpaka sasa kafanya nini kujua waliomshambulia walikuwa ni kina nani?
Wakati anashambuliwa aliyemkaribisha hakuwepo Tanzania. Mpaka sasa kafanya nini kujua waliomshambulia walikuwa ni kina nani?
Wakati anashambuliwa aliyemkaribisha hakuwepo Tanzania. Mpaka sasa kafanya nini kujua waliomshambulia walikuwa ni kina nani?
Ulitaka kila Serikali inachokifanya ikuwekee wewe wazi?Wakati anashambuliwa aliyemkaribisha hakuwepo Tanzania. Mpaka sasa kafanya nini kujua waliomshambulia walikuwa ni kina nani?
Kwani wewe ni sehemu ya wafadhili wake kwamba unaona uwezo wa kumfadhili umekuishia?Ulitaka kila Serikali inachokifanya ikuwekee wewe wazi?
Vitu vingine ni confidential huwezi jua hatua alizozichukua hadi akamtaka arudi nchini.
Arudi nchini au aendelee kula pesa za wanamfadhili huko alipo
Wee hata haujui kitu inaendelea Kenya kwa saa hii.Huwezi linganisha supporters wa Raila na wa tundu au lema, uki deal na Miguna una deal na Raila. Sasa lema na tundu wana ushawishi hapa nchini kama alivyo Raila kule Kenya?
Huwezi linganisha vitu ambavyo havilingani.
Ahakikishiweje kwa mfano wakati Amiri Jeshi Mkuu kashamwambia arudi,nyie wafuasi wake mlitaka ahakikishiweje inawezekana mna mawazo mazuri ila kuyawasilisha ndio hamjui?Kwani wewe ni sehemu ya wafadhili wake kwamba unaona uwezo wa kumfadhili umekuishia?
Kama serikali inafanya mambo yake kwa siri mbona kushutumu ukaaji wa Lissu Ubeligiji wanafanya hadharani?
"Confidentiality" kwenye uhai wa mtu hakuna. Ni lazima useme hadharani kwamba akija utalinda uhai wake.
Wewe unajua kazi za Amiri Jeshi Mkuu? Kwani wakati anashambuliwa Tanzania kulikuwa hakuna Amiri Jeshi Mkuu??Ahakikishiweje kwa mfano wakati Amiri Jeshi Mkuu kashamwambia arudi,nyie wafuasi wake mlitaka ahakikishiweje inawezekana mna matakwa yenu binafsi
Janja janja!.
P
Amiri jeshi mkuu mpya ameshatoa maelekezo ya kumtaka arudi,mlikuwa mnatakaje kwani mbona hamsemi mnalialia tu humu?Wewe unajua kazi za Amiri Jeshi Mkuu? Kwani wakati anashambuliwa Tanzania kulikuwa hakuna Amiri Jeshi Mkuu??
Pasco baada ya kutoka Dodoma akawa anawasema CCM wenzake kwa mafumbo ama kwa mzunguko!!Ingekuwa hivyo hata wewe si ungekuwa waliko mkuu? Jaribu angalau kidogo kuwa objective!
Amiri jeshi Mkuu hausiki na Ulinzi wa mali na maisha ya watu. Wapo wenye hiyo kazi. Kazi ya Amiri Jeshi Mkuu si kusema watu warudi kuna usalama.Amiri jeshi mkuu mpya ameshatoa maelekezo ya kumtaka arudi,mlikuwa mnatakaje kwani mbona hamsemi mnalialia tu humu?
Sasa kaka Pascal ni kipi Cha ajabu unachoandika humu kiasi Cha kuistua serikali?Duh...!. Mkuu Bila bila, hili la kubwekea uani... hivi hata hapa jf ni uani au hapa ni kibarazani, upenuni kabisa?.
P.
Mama si ndo kasema arudi nyumbani kampa na Passport yake!Miguna karudishwa na Rais Ruto nchini kwake. Lissu hawezi kurudi mama hatabiriki anaweza kumgeuka. Unasahau kesi ya ugaidi ya Mbowe.
Mlitakaje?Amiri jeshi Mkuu hausiki na Ulinzi wa mali na maisha ya watu. Wapo wenye hiyo kazi. Kazi ya Amiri Jeshi Mkuu si kusema watu warudi kuna usalama.
Kuhusu nini. Ushasahau tulichokuwa tunajadili!?Mlitakaje?
Mbona ni rahisi tu,fungukeni
Kigugumizi kinatokea wapi?
Mbona mnaangalia upande mmoja kwakuwa mnafukuzia kuteuliwa.ila si vibaya haya ni mambo ya kisiasa.Janja janja!.
P
wewe zee lis.enge se.nge sanaJanja janja!.
P
Wanajipendekeza kwa mgawa nyama ili mabakuli yao yasitoke makavu.Mbona mnaangalia upande mmoja kwakuwa mnafukuzia kuteuliwa.ila si vibaya haya ni mambo ya kisiasa.