Huwezi linganisha supporters wa Raila na wa tundu au lema, uki deal na Miguna una deal na Raila. Sasa lema na tundu wana ushawishi hapa nchini kama alivyo Raila kule Kenya?
Huwezi linganisha vitu ambavyo havilingani.
Wee hata haujui kitu inaendelea Kenya kwa saa hii.
Ni kwamba Miguna Miguna sio tena Supporter wa Raila,walikwishakosana kitambo vyenye Raila alikubali
"Handshake na Uhuru" ambae alomfukuza Kenya,na hakukibali arudi tena,mpaka ameondoka.
Tangia hapo,Miguna alihamia Kambi ya "Kenya Kwanza" chini yaWilliam Samoei Rutto.
Sas hivi Miguna Miguna amekuja na project ya Rutto kuingia na kujisimika ndani ya Luo- Nyanza,kwa kumtumia huyo msaliti na mhaini, Miguna Miguna!
Na tayari Miguna alikwishatangaza hilo,tangu alipotua Nairobi akitokea huko Ughaibuni.
Na hiyo ilikuwa ile "Mashujaa Day"
Ndio maana alikuwa ameandaliwa exposure kwa kutua na kwenda moja kwa moja kwenye uwanja ilikokuwa ikiadhimishwa Mashujaa Day na Rutto akiwepo.
Baada ya hapo walikwenda wote Ikulu ya Nairobi,na mikakati zaidi inaendelea ili Rutto aweze kumdhoofisha Raila kisiasa kupitia kundi jipya la Miguna Miguna.
So.....Miguna alifukuzwa na Serikali ya Uhuru na amerudishwa na Serikali ya Rutto.