Mihayo Wilmore anayedaiwa kumpiga mkewe Nackitia Nyange "kipigo cha mbwa koko" ni nani?

Wanaume wengi busara zenu ni nguvu akili hamtumii.....ila ujue mwanamke akiamua awe mtulivu na mdomo wake usikukere pamoja na mabaya yako anaweza kukuua anakuchekea
Midomo hiyo ya kuwaambia wanaume "Akili hawatumii" ndio hupelekea kupigwa, na wewe ungekuwa mke wangu hapo ungepata kinachokustahili (kipigo), mmeagizwa na Mwenyezi Mungu kuwatii Waume, ukileta dharau kwa Mume kipigo halali yako.
 
Zurie, Okey miss

You know better lakini nimetoa mawazo yangu based na kile kitu ambacho nimekiona toka nikiwa mdogo. Sijakubaliana na alichokifanya ila kufikia hatua ya kupoteza control ya hisia zake siwezi kusema ilikuwa out of an ordinary situation...

Kingine reaction ya mtu haiwezi kuondoa yeye kuwa victim. Naamini ingekuwa ni mwanamke kamjeruhi mumewe baada ya manyanyaso. Feminists wangekuja na maneno laini
 
Kweli Kuna vipigo ukivishuhudia hadi mwili unasisimka. Nacholaumu ni hao watoto kuachwa wakishuhudia hicho kitu na bado wadogo plus mageti full time. Sidhani kama wana akili za kuweza handle hicho kitu
 
Na vitu kama hivi hutovisikia. Ushaambiwa ni mtu safi aliyekuwa provoked na umalaya wa mke. Wanaume hawanaga huruma kwenye vitu kama hivi mpaka anayepigwa awe mwanaye au dada yake na awe amepigwa hadi kukutwa na umauti.
 
Kama ukizingua inabidi tu upate kipigo cha mbwa koko..kiddin tuaiangalie jamaa lipoandikia tucheki source chanzo chake...hizo nyengine ni reaction tu
 
Wewe ni KE au ME? tuanzie hapo kwanza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Midomo hiyo ya kuwaambia wanaume "Akili hawatumii" ndio hupelekea kupigwa, na wewe ungekuwa mke wangu hapo ungepata kinachokustahili (kipigo), mmeagizwa na Mwenyezi Mungu kuwatii Waume, ukileta dharau kwa Mume kipigo halali yako.
Naunga hoja mkono kwa 100%.

dodge
 
Before establishing Twigalpha, Mihayo was a founding partner of UmojaOne, the parent company of UhuruOne, SBB, and Telesis Tanzania which owns the Spectrum popularly known as Tigo 4G operated by Tigo Tanzania. His experience spans four continents; Africa, Europe, North and South America and has worked with leading brands such as Microsoft, Cisco, Alcatel, Celtel, Tigo, MTN, Zantel, Zain, Airtel and Unisys.
 
N

Nafika menopause hata ndoa hamna...feminiat bana..mnajua mnachokua mnakitafuta...dawa wewe ni kukuzalisha na ukakae kwa mamako ah ah
Kuzaa ni matunda ya umalaya ata ukifa unaacha alama zako duniani, unaacha wa kukuenzi
 
Hao Wanaume/Baba hawapo katika sayari hii labda wa kwenye tamthilia za Wafilipino.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuzaa ni matunda ya umalaya ata ukifa unaacha alama zako duniani, unaacha wa kukuenzi
Hata sijakuelewa hivi kama ...nahisi hii kitu personal kwako we ndo huyo dada nini na video za 2015 huko..nasikia clouds mmeamua peleka majesh kabisa kuamsha waliolala
 
'Akili za kuambiwa changanya na zako. Angalia video hadi mwisho, huyu mwanamke si mara ya kwanza kupigwa. Unajua kwanini?

Anajua kabisa tabia za mpigaji wake. Ndo maana alipokuwa anaondoka alimfuata nyuma sababu anamjua akishacalm down so anajua kabisa hapa “session” imeisha.'

Hahah kweli wabongo tuna vipaji maalumu kutoka kwa Mungu, yaani umeangalia hio video isiyo na sauti na ukacheki hizo movement za huyo dada ukajua kabisa hio sio mara ya kwanza kupigwa?hahah tuna vipaji maalumu bongo.
dodge
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…