Coaster2015
JF-Expert Member
- Aug 21, 2018
- 2,607
- 2,730
Midomo hiyo ya kuwaambia wanaume "Akili hawatumii" ndio hupelekea kupigwa, na wewe ungekuwa mke wangu hapo ungepata kinachokustahili (kipigo), mmeagizwa na Mwenyezi Mungu kuwatii Waume, ukileta dharau kwa Mume kipigo halali yako.Wanaume wengi busara zenu ni nguvu akili hamtumii.....ila ujue mwanamke akiamua awe mtulivu na mdomo wake usikukere pamoja na mabaya yako anaweza kukuua anakuchekea