Miili miwili bado inashikiliwa na HAMAS, upo wa kijana Mtanzania Joshua Mollel

Tujifunze kuvielewa vitu, si kukariri.

Colon. The colon is used chiefly to introduce a list, quotation, or explanation following an independent clause (complete sentence). Use a colon at the end of a complete statement to introduce a list.
 
Mbona nchi za wenzetu wanafuatilia sana watunwao na hata kuachiliwa? Nchi yetu nini shida? Wamebaki kupiga porojo na sifa na ufisadi tu kuficha hata waliko viongozi.
 
Mwili wake utapokelewa lini. Au ameuwawa na mabomu ya IDF.
 
Gaidi mzaa magaidi jikite kwenye mada

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Tumekuwa ni chaka la wajinga,wengi wetu.
Hv kweli Hamas wamteke Mtz kisha wamuue,Halafu Serikali yetu ikae kimya...
Wazo langu kwa Serikali
Wawaulize Israel...Kwann Watanzania wamekufa ilihali wakiwa Mikononi Mwao?!
Ikiwa Seikali yetu inaweza kufanya uchunguzi,wafanye,na si kuletea habari za Wazayuni,kisha kuikubali na kuwaaminisha Watanzania!!!!

Vipi pakisemwa kuwa Serikali ya Israel iliwachukua Watanzania hawa na kuwapeleka front,kisha wakakutwa na kifo?!
Hili linawezekana...
Tuweni macho sana na tuwache chuki zisizokuwa na msingi.

Sisi kama Watanzania,tunawapa pole Familia ya hawa Watz wenzetu....ila tuwe macho sana na Dunia tuliyo nayo.

Asanteni
 
Bibi Nyamizi kwenye 1 na 2
 

Wazazi mtawapelekaje watoto kwa mazayuni, ona sasa kilichowakuta!

God bless Hamas
God bless Palestine 🇵🇸
 
Kauliwa na Isreal
 

Uwe inafuatilia, siyo kuropoka tu kwa kadiri unavyowaza wewe.

Mpaka sasa, mateka waliokufa wakiwa mikononi mwa Hamas, kwa mujibu wa maelezo ya Hamas, ni 18. Siyo kwamba waliwateka halafu walivyofika huko waliwaua. Bali wakati wanawateka, wengine walikuwa wamewajeruhi vibaya, wengine waliwapiga sana kwa sababu hawakuwa tayari kuwa mateka, wengine wameugua wakiwa mikononi mwa Hamas. Hamas wanasema kuwa wamekuwa wakishindwa kuwapeleka hospitalini kwa sababu ya kuogopa mashambulizi ya Israel.

Kama ni mfuatiliaji, ulisikia juu ya kukwama kwa kuongeza muda wa kuacha mapigano ili ubadilishanaji wa mateka uendelee. Israel iligoma baada ya Hamas, kwenye orodha ya mateka 15 wa kubadilishana, iliweka watu hai 11, na miili ya wafu 4. Israel ilitaka iondolewe miili, wawekwe watu hai, Hamas wakagoma, wakidai kuwa raia hai wameisha, waliobakia wanashikiliwa na makundi mengine. Waliobakia kwa upande wao ni askari wa Israel ambao hawawezi kuwaachia.

Na si ajabu mpaka sasa, marehemu waliopo mikononi mwa Hamas ni zaidi ya 18.
 
Serikali ya awamu ya sita imeshindwa hata kutoa kauli ya kulaani kutekwa kwa kwa raia wake, kazi ni kusifu na kutukuza ujinga, huku tukipokea maiti za watanzania waliouawa na magaidi wa hamas. Inaumiza sana
Kwa hiyo serikali ikilaani mauaji hayo ndio Marehemu hawa watafufuka???

Punguzeni chuki zisizo na tija!
 
Huna akili umebebeshwa majini ya madrasa hata hujielewi

USSR
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…