Miili miwili bado inashikiliwa na HAMAS, upo wa kijana Mtanzania Joshua Mollel

Serikali imepokea taarifa au imesoma twitter ya Israel.
Nahisi kama serikali ya Israel haina uhakika na vifo au uhai wa mateka waliopo Gaza.
Na pia ukweli usemwe alikuwa mwanafunzi au mfanyakazi wa mashambani pamoja na watailand.
 
Hamas wameogopa kuwagusa wamarekani waliowateka wameua wa nchi ingine kabisa.so sad.

Yupo wapi sasa huyu Mtanzania?
 
Nadhani jitihada ilikuwa namna ya kupata mwili wa mwenzetu serikali ina ubalozi kule wangeweza shughulikia hili jambo, sasa baba, ndugu na mwakilishi wa serikali wanaenda fanya nn kama balozi na timu ya wala mema ya nchi hawakuwa na wasaa mzuri kupata mwili wa Mtanzania mwenzetu au wameenda onyeshwa kitanda alichokuwa analala. Wawakilishi wa serikali huko Israel wafanye majukumu yao si hili igizo lililotengenezwa na wizara ya mambo ya nje
 
Naona hawa vijana wetu walitumwa kufanya kazi nyingine huko Israel, yaani kweli ameenda kufuga ng'ombe wa maziwa?

Inaumiza sana.

Hiyo wizara ya nje nayo ina tatizo, inaruhusu tena mzazi kwenda kufuatilia mwili wa mwanae, wizara inafanya nini.

Huenda alikuwa anafanya part time tu kujiongezea kipato aka "kubeba boksi"
 
Kwa hiyo serikali ikilaani mauaji hayo ndio Marehemu hawa watafufuka???

Punguzeni chuki zisizo na tija!
Kama akili zako zinakutuma kufikiri hivyo basi akili zako ni ndogo.
 
Ila Tanzania tunatukuza udini kuliko utanzania wetu. Mtanzania katekwa na Hamas kauawa mikononi mwa Hamas. Mtu anawatetea Hamas na kumuona mtanzania mwenzake hafai. Aiseeh!
Ujinga ni mwingi sana.Dini zimefanya watu wazidi kua wajinga.
 
Hili suala hata kulijadili wala kusoma nyuzi nilishaacha kwani kuna majitu mapuuzi sana. Muddy kawabrqin wash sana yaani hata kujadiliana nao naona kinyaa.
 
Kwa kweli ubalozi wa Palestina ufutwe haraka sana. Hauna faida kwetu. Kuna siku unaweza kuja kutumika kutuletea magaidi nchini.
We jamaa ungetoa tu hio Dp yako. Unamdhalilisha mwenye hio picha kwa ujinga wako ulio tukuka
 
Siku moja jielimishe, Kipindi cha Baba wa Taifa alikata ubalozi na Israel. Baba wa Taifa mwenye Kheri
Tofautisha nyakati za sasa na enzib za cold war, kwa akili zako finyu unaona Islamic terrorist wana haki ya kuwaua watanzania wasio na hatia kwa sababu ni wakristo?
 
Hapa inatakiwa tutumie akili zetu vizuri sana kwa kujiuliza masuali kidogo ili tukubali kuliko kukubali kile tunachoambiwa.
  • Kwa siku zote hizo, jee HAMAS waliuhifadhi wapi huo mwili wakati hospital zote zimeshapigwa makombora.
  • Jee kuna mkataba wa hivi karibuni kati ya HAMAS na Israel wa kubadilishana maiti.
  • Hiyo maiti, Israel walikabidhiwa lini na HAMASI.
 
Ulaaniwe kabisa ww gaidi la kiislamu mna roho mbaya sn ham hamfai kuishi duniani
Tupeleke kunakofaaa
Chuki zenu dhidi ya waislam zitawafanya mufe haraka
Au mupate maradhi kama presha visukari msongo wa mawazo nk
Mwisho uislam ndio dini sahihi ambayo kila mwanaadam anatakiwa kuwa nayo kama anajipenda nakujithamini
 
Ukiona unajiuliza haya maswali mkuu basi jua unajitambua na hupo tayari kudanganywa wala kudanganyika ila kuna wale wengine sasa
Kiufupi huyo bwana kauliwa na mazayuni mazayuni mawatu wabaya sana bora ukutane na simba au mamba
 
Nimejiuliza waislamu si wanazika siku hiyo hiyo, iweje wabaki na maiti?, kazi ya kuziangalia hizo maiti watampa nani wakati wapo bize kupigana?

Anyway.

Pole wafiwa, pole Tanzania.
 

Propaganda za kimkakati kuwapata kina mbuzi mbuzi kama huyu MK254
 

Akikujibu hyuyo pimbi utupe mrejesho mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…