Miili miwili bado inashikiliwa na HAMAS, upo wa kijana Mtanzania Joshua Mollel


Kimsingi HAMAS waachie mwili wa Mtanzania arejeshwe na kuzikwa kwao, la sivyo tutaandika nadharia nyingi sana za kutaka kuwafanya HAMAS waonekane malaika kisa dini.
 
nashukuru umeandika jambo la ukweli, waisrael wanaingiza maspy kwa kutumia raia wa nchi nyingine halafu baadae wanatumika kwa propaganda.
You guys mnaweka dini na chuki mbele kuliko uzalendo. Unadhani kijana wa watu alikuwa spy? Ili kujustify kifo chake? Jitathmini sana ndugu
 
Wakristo wangapi wanaishi Palestina miaka kwa miaka....tena wakiwa na Furaha

Semeni tu ukweli
Israel iliwatoa chambo Wabongo kwa tamaa au ujinga wao.
Nyie mnawashabikia hamas kwa sababu za Udini ila wao wanawadharau kwa sababu ya uweusi wenu
 
Kwahiyo wanaitunza kwenye barafu? Kwa faida gani? Maana huko umeme WA shida now.
 
Wamewaua ili iweje
 
Mud alikuwa tapeli kama wanaojiita mitume kwa sasa ,sio kutoka kwa mungu otherwise ni mungu mwingine
 
vipi wenye akili wanawapeleka mabinti zao arabuni wakawe watumwa na kulishwa makombo kunyang'anywa hati zao za kusafiri na unyama wanafanyiwa na serikali za kiislam zinafumba macho..

Waislam wameambiwa wakikwama kiimani wawaulize watu wa kitabu wayahudi na wakristo hivyo waislam ni wapumbavu tokea enzi za mtume wao mudy
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…