Miili miwili bado inashikiliwa na HAMAS, upo wa kijana Mtanzania Joshua Mollel

Tena ni zaidi ya Mpumbavu,mtu mzima lakini anakuwa na mambo ya hovyo sana
Kama yeye ni mpumbavu basi wenda ww ni mpumbavu zaidi yake mara million.

Si bora yeye amemdhihaki mtu mmoja, lakini ww umekuwa ukidhihaki maelfu ya wanawake wenzio na watoto mpaka njiti wanao uliwa na Israel.
Acha unafiki kila binadamu anahitaji kutetewa na kuonewa huruma pale anapo onewa maana siku utakapo sinamishwa mbele ya mungu wako hatokutizama kama mtz bali atakutizama kama binadamu.
 
Ww kwa umri wako nadhani utakuwa na watoto labda na wajukuu japo sina uhakika.
Je ni sawa unavyo shinda ukichelea vifo vya watoto kwa kuwaita magaidi? Usipende kuwahukumu wenzio hali yakuwa ww ndo mbaya zaidi.
 
Faiza Fox nomba kuuliza kistarabu kabisa hivi mpaka leo Hamas hawajifunza tu kuwa Israel sio size yao kwa idadi ya vifo vya wapalestina mpaka sasa?
 
Naona hawa vijana wetu walitumwa kufanya kazi nyingine huko Israel, yaani kweli ameenda kufuga ng'ombe wa maziwa?

Inaumiza sana.

Hiyo wizara ya nje nayo ina tatizo, inaruhusu tena mzazi kwenda kufuatilia mwili wa mwanae, wizara inafanya nini.
Itakuwa maswala ya DNA labda
 
Faiza Fox nomba kuuliza kistarabu kabisa hivi mpaka leo Hamas hawajifunza tu kuwa Israel sio size yao kwa idadi ya vifo vya wapalestina mpaka sasa?
Hata ingekuwa wewe unawekwa kambi ya mateso kwa miaka 75 ungestahamili mpaka lini?

Hao Watanzania wakatafutwe hapa kwenye mafriji. Tujiulize, ikiwa mazayuni pamoja na kulindwa mataifa yenye nguvu kubwa duniani yanashindwa kuzuwia vifo vyao, wataweza kuwalinda Watanzania wawili waliokuwa "at the wrong place at the wrong time"?

Tusiongee hisia za kijinga, tuongee uhalisia:

Your browser is not able to display this video.
 
Hamas ni magaidi wanatakiwa kufutwa kabisa kwenye uso wa dunia
 
Wewe Mujahideen ulipokuwa unasoma Canada ulikuwa huendi disco??

Israel hakuna vita, kuna vitendo vya ugaidi.
 
Kwamba mateka wamekufa mikononi kwa Hamas wewe umejuaje?

Nilishawaambia huyu alikufa kitambo kama mwenzie kwa mtindo wa mlipuko .
Wewe umejuaje alikufa kwa mtindo wa mlipuko??
 
Naona hawa vijana wetu walitumwa kufanya kazi nyingine huko Israel, yaani kweli ameenda kufuga ng'ombe wa maziwa?

Inaumiza sana.

Hiyo wizara ya nje nayo ina tatizo, inaruhusu tena mzazi kwenda kufuatilia mwili wa mwanae, wizara inafanya nini.
Teknolojia iliyopo Israel hakuna sehemu Africa wanakaribia hata robo yake.
 
Wewe umejuaje alikufa kwa mtindo wa mlipuko??
Hamas hawawezi kuteka mtu mweusi ni dhahiri wanajua sio muisrael maana waisrael kwao mtu mweusi ni sumu ...

Ebu soma kweny link hapo juu ndio utajua intellijensia yangu hata wao wanakubali.
 
Mkuu ni ajabu sana mtu kuamini eti Hamas walishikilia maiti kwa miezi miwili.

Propaganda zingine za kitoto sana aise. Halafu kuna wapumbavu wanawaamini Israel.

Hawa vijana walishakufa kwenye mlipuko huko Israel tangu Oktoba 7 kwahiyo Israel anatumia Propaganda za kizamani sana ili watu wajenge chuki na Palestina.
 
Hamas hawawezi kuteka mtu mweusi ni dhahiri wanajua sio muisrael maana waisrael kwao mtu mweusi ni sumu ...

Ebu soma kweny link hapo juu ndio utajua intellijensia yangu hata wao wanakubali.
Tunaelewa kwamba adui namba moja wa Israel ni mkiristo kwahiyo huyo kijana huenda aliuliwa na Israel kama alijionesha yeye ni mkiristo maana mayahudi na ukristo ni vitu viwili tofauti.
 
Sadist
 
Hata population ya pale Israel dini kubwa ni Uyahudi, ikifuatiwa na Uislamu kisha Ukristo kwa 1% pekee.
 
Wewe Mujahideen ulipokuwa unasoma Canada ulikuwa huendi disco??

Israel hakuna vita, kuna vitendo vya ugaidi.
Kwanini kuwe na vitendo vya ugaidi? Ile ni vita isiyoisha tangu 1948 kwahiyo usalama ukiwa Israel ni roho mkononi hata wao wanajua ndiyo maana wanamkumbatia USA awaongezee teknolojia ya ulinzi ili angalau wapumzike na vita.
 
🤣🤣Yaani haingii akilini kabisa na waliachia watu batch ya kwanza ,ina maana kama kweli kafa maiti ingetoka batch ya kwanza wabaki nayo ya nn tena .

Hawa waisrael walikusanya maiti na kuanza kuziangalia ili kujua utambulisho wa waliokufa ,sasa wamekuja kugundua ni Mtanzania badala warudishe basi ishatokea wanaanza porojo .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…