akajasembamba
JF-Expert Member
- Dec 24, 2010
- 1,179
- 1,794
Freedom fighters wanateka vibibi vizee!!!! na kujificha nyuso kama ni ninja hao ni mashetani na wahuni tu. Israel ni nchi ya wayahudi kwa miaka elfu 3, ni shetani tu na wafuasi wake anayepinga. Kwa akili zenu Hamas wakija hata kumbaka dada na kumchinja mzazi wako mbele zenu mtawapongeza. Watanzania wenzetu wawili wametekwa na kuuwawa mnawaunga mkono!
Naona unaleta mihemko tu hapa sijaona pwenti hapa. Acha wapigania uhuru wapambanie nchi yao.Freedom fighters wanateka vibibi vizee!!!! na kujificha nyuso kama ni ninja hao ni mashetani na wahuni tu. Israel ni nchi ya wayahudi kwa miaka elfu 3, ni shetani tu na wafuasi wake anayepinga. Kwa akili zenu Hamas wakija hata kumbaka dada na kumchinja mzazi wako mbele zenu mtawapongeza. Watanzania wenzetu wawili wametekwa na kuuwawa mnawaunga mkono!
Kipindi cha kiongozi mmoja ambaye sasa hayupo, yupo mtu mmoja aliniaga anaenda huko huko kujifunza kilimo,Teknolojia iliyopo Israel hakuna sehemu Africa wanakaribia hata robo yake.
nyinyi ambao Dini yenu hairuhusu kuua nini kinaendelea Palestine ?Dini yenu inafundisha kuua kumbe?? Yani upo comfortable kutamka binadamu mwenzako auwawee, really???
Magaidi Hamas wameua Watanzania wasio na hatia na wasiohusika na mgogoro wao.Wameuliwa Tangu oktoba 7 ,eti Hamas wamechukua miili yao na kukaa nayo mpaka leo ...Huu ujinga labda asiyejua kusoma ndio anaweza kuelewa .
Yaani Hamas kukamata mateka waache wazima wachukue miili ya waliokufa tangu oktoba 7 [emoji28][emoji28][emoji28]..
Dead bodies are everywhere na zinaachwa kusambaa watu waje kuokota maiti .
Simple ni kwamba israel wameua watanzania wote wawili....walichoandika labda uwe mjinga ndio utakubali .
Yaani mtu kauliwa oktoba 7 wao Hamas washikilie miili ya hao maiti kwa miezi 2 ,ili wapate nn tena?[emoji28][emoji28]
Sio kweli wangeua mateka wote haswa walengwa ambao ni waisraelMagaidi Hamas wameua Watanzania wasio na hatia na wasiohusika na mgogoro wao.
Na pia tusiwaunge mkono magaidi wa kiizraelHamas ni Magaidi
piga vita Ugaidi
Watanzania wote tuungane kuwalaani Magaidi ya Hamas
Wale WA mnyaazi Mungu hapa mna la kusema lolote? Kuna la kuchambua hapa??
View attachment 2845400
Sawa, wewe upo hapo Israel pande zipi?Hao ni Israel ndo wamemuua
Tatizo wapalestine wanajazwa chuki za itikadi kali kwamba yahudi ni adui wao na anapaswa kuuwawa. Wakibadili huu mtazamo wa kihayawani wataishi kwa salama bila tatizo.
Na huo ndio ukwel, ila angekua msilamu hata kama mweusi wangemuachaTatizo wapalestine wanajazwa chuki za itikadi kali kwamba yahudi ni adui wao na anapaswa kuuwawa. Wakibadili huu mtazamo wa kihayawani wataishi kwa salama bila tatizo.
Kwa hili la kumuua huyu mtanzania ni ameponzwa na rangi na dini yake (ukristo). Ni ugaidi wa kidini unaojificha kwenye harakati za kudai ardhi.
Ni kitu kinanikera sana kuithaminisha haki ya kuishi kwa dini au rangi ya mtu. Kwamba ufe au upone inaamuliwa na dini au rangi yako. Hapo ndio nachukia mno itikadi kali katika dini.Na huo ndio ukwel, ila angekua msilamu hata kama mweusi wangemuacha
Wewe utakuwa ni mchawi, kwa hali hiyo Israel hawezi kukubali kuunda taifa moja na waarabu, hawaaminiki, ndio maana anajaribu kufuta generation ya hamasi, mmekaribishwa ulaya mpaka leo wanajutaHao ni Israel ndo wamemuua