Miili miwili bado inashikiliwa na HAMAS, upo wa kijana Mtanzania Joshua Mollel

Miili miwili bado inashikiliwa na HAMAS, upo wa kijana Mtanzania Joshua Mollel

Hamas ni freedom fighters wape heshima yao tafadhali.

Sent using Jamii Forums mobile app
Freedom fighters wanateka vibibi vizee!!!! na kujificha nyuso kama ni ninja hao ni mashetani na wahuni tu. Israel ni nchi ya wayahudi kwa miaka elfu 3, ni shetani tu na wafuasi wake anayepinga. Kwa akili zenu Hamas wakija hata kumbaka dada na kumchinja mzazi wako mbele zenu mtawapongeza. Watanzania wenzetu wawili wametekwa na kuuwawa mnawaunga mkono!
 
Naona unaleta mihemko tu hapa sijaona pwenti hapa. Acha wapigania uhuru wapambanie nchi yao.
 
Teknolojia iliyopo Israel hakuna sehemu Africa wanakaribia hata robo yake.
Kipindi cha kiongozi mmoja ambaye sasa hayupo, yupo mtu mmoja aliniaga anaenda huko huko kujifunza kilimo,

Nilimfuatilia Kule walikaa kama miaka miwili hivi, kurudi yule kiongozi akawa hayupo.

Nilimuuliza uliza mpaka akasema kule lengo hasa lililowapeleka lilikuwa ni ulinzi.

Anyways, poleni sana mliopoteza vijana wenu.
 
Dini yenu inafundisha kuua kumbe?? Yani upo comfortable kutamka binadamu mwenzako auwawee, really???
nyinyi ambao Dini yenu hairuhusu kuua nini kinaendelea Palestine ?
au wale ni kunguni wanauawa ?

kunya anye kuku akinya bata anahatisha 😏
 
Wameuliwa Tangu oktoba 7 ,eti Hamas wamechukua miili yao na kukaa nayo mpaka leo ...Huu ujinga labda asiyejua kusoma ndio anaweza kuelewa .

Yaani Hamas kukamata mateka waache wazima wachukue miili ya waliokufa tangu oktoba 7 [emoji28][emoji28][emoji28]..

Dead bodies are everywhere na zinaachwa kusambaa watu waje kuokota maiti .

Simple ni kwamba israel wameua watanzania wote wawili....walichoandika labda uwe mjinga ndio utakubali .

Yaani mtu kauliwa oktoba 7 wao Hamas washikilie miili ya hao maiti kwa miezi 2 ,ili wapate nn tena?[emoji28][emoji28]
Magaidi Hamas wameua Watanzania wasio na hatia na wasiohusika na mgogoro wao.
 
Hamas ni Magaidi
piga vita Ugaidi
Watanzania wote tuungane kuwalaani Magaidi ya Hamas

Wale WA mnyaazi Mungu hapa mna la kusema lolote? Kuna la kuchambua hapa??

Screenshot_20231217-213026.jpg
 
Na pia tusiwaunge mkono magaidi wa kiizrael

Sent from my Nokia 2.3 using JamiiForums mobile app
Tatizo wapalestine wanajazwa chuki za itikadi kali kwamba yahudi ni adui wao na anapaswa kuuwawa. Wakibadili huu mtazamo wa kihayawani wataishi kwa salama bila tatizo.
Kwa hili la kumuua huyu mtanzania ni ameponzwa na rangi na dini yake (ukristo). Ni ugaidi wa kidini unaojificha kwenye harakati za kudai ardhi.
 
Na huo ndio ukwel, ila angekua msilamu hata kama mweusi wangemuacha
 
Hao ni Israel ndo wamemuua
Wewe utakuwa ni mchawi, kwa hali hiyo Israel hawezi kukubali kuunda taifa moja na waarabu, hawaaminiki, ndio maana anajaribu kufuta generation ya hamasi, mmekaribishwa ulaya mpaka leo wanajuta
 
Back
Top Bottom