Miji ifuatayo iandaliwe kuwa Majiji

Bukoba nakupinga,hawana hata dtandt ya kueleweka bora shy town kwa kanda ya ziwa
 
Jibu swali usitafute kichaka Cha kujificha..

Nataka utaje kitu ambacho Kahama inaizidi Tunduma,mambo ya kamsamba sijui shinji sio hoja ya kukusaidia
 
Ifike KIPINDI kwa kweli
 
Jitahidi utembee mini mingi zaidi
 
Hiyoo Tunduma inamaajabu ganii sasaa,leta data nimwage data pia.......nakusubili.
 
Yani Bukoba kulikua hakuna mataa ya kuongozea magari mpaka leo?
Inazidiwa mpaka na Musoma?
Kwan musoma kuna uwanja wa ndege? Kuna uwanja wa mpira wa nyasi bandia na wenye taa za usiku kama kaitaba, musoma kuna bandari yoyote inayofunction kama zile mbili za bukoba na kemondo, Angalia idadi ya majengo kati ya musoma na bukoba...musoma wanafeli wapi...musoma kuna chuo kikuu chochote kinachojengwa?


Maendeleo ni hatua na vipaumbele...kila mji una vipaumbele vyake..hats kuweka hayo mataa ya kuongoza magari sehemu zaidi ya tano mjini bukoba haikuwa lazima kiviile japo inasaidia kuongeza organisation ya mji....
 
I cant wait to be the first Mayor of Ifakara City Council.
 
Akili zako kisoda chenye mkojo, unadhani Congo ni pale Goma na Kivu kaskazini.
Tembea uone dogolas
 
Binafsi sipendekezi iwe hivyo bali natamn kila kanda iwe na jiji moja la kisasa kisha sehem zingine ziwe mahsus kwa uzalishaji hasa kilimo na ufugaji
 
Bukoba nakupinga,hawana hata dtandt ya kueleweka bora shy town kwa kanda ya ziwa
Hata kuandika hujui...ndo maana unafikiri stendi nzr ndo kuwa mji...kwan Arusha kuna stendi gani pale pamoja na kuwa jiji...vip Nairobi? Ushawahi ona stendi ya maana kule zaidi ya magari kupaki barabarani...je Nairobi ivuliwe hadhi ya jiji....

Ok shinyanga kuna stendi ya mabasi fine...
Bukoba kuna Uwanja mkubwa wa ndege, Majengo mengi ya ghorofa kuliko shy, uwanja wa mpira wa kisasa, bandari kubwa mbili, maegesho makubwa ya maroli bila kusahau mtandao mkubwa wa barabara kuliko shinyanga..

Miji ni vipaumbele.....ngoja waimalize ile stendi ya kyakairabwa sijui mtasema nini tena kuhusu bk
 
Akili zako kisoda chenye mkojo, unadhani Congo ni pale Goma na Kivu kaskazini.
Tembea uone dogolas
Katika africa kama nimebakisha nchi sijakanyaga hazizid 10. Hiv ninavyoongea hapa nipo Windhoek Chief. Congo kama congo nyama karibu yote ipo mashariki yaan North Kivu na south mpaka Bukavu na jimbo la Katanga na wajanja wa Congo ni wakasai nina duka Lubumbashi mimi so naelewa ninachoongea ukitaka nikufungukie zaid njoo inbobo. Nilichokuwa nijaribu kumuelewesha huyo kijana anatakiwa ajue Jiji kuitwa Jiji hakumnufaish kwa chochote kama yeye asipoendana na mdundo. Kukaa hapo na kusema wachagga cjui ni wachawi cjui matapeli hakuwazuii kuendelea. Ni kama wamalay walikuwa watu wa stor wachina wakachukua fursa zote mpaka serikali ikakaa nao ndio kukawepo mwanya wa kupenya. Au wazulu story nyingi kaz hawafany anatoka mwafrica mmoja hapa akiendelea analalamika wamekuja kuchukua kaz zetu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…