Miji ifuatayo iandaliwe kuwa Majiji

Kwa hiyo hujui kwamba Uwanja wa ndege wa Musoma unaendelea na ujenzi as we speak?
 

Attachments

  • Mhe._Makongoro_akiizungumzia_Kahama(720p).mp4
    16 MB
Bukoba hii hii ya Kashai, Hamghembe na Migera😅 iwe bojooooo
 
Nimesema atilist miji miwili kila kanda,ukichagua miji miwili kanda ya nyanda za juu kusin,au kanda ya kati,huwezi kuiacha iringa.kwaiyo iringa nayo iandaliwe kua city.
dar ni mkoa ila uko ndani ya jiji la ilala
 
Niletee branch ya KCB ,DTB,na Bank of Africa tunduma [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]...nileft JF

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Niletee branch ya KCB ,DTB,na Bank of Africa tunduma [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]...nileft JF

Sent using Jamii Forums mobile app
Labda DTB ndio sijawahi kujiona ila hizo zingine zipo kama zote.DTB huenda nayo ipo ila sijajua Iko wapi maana Mimi sio mkazi wa Tunduma japo ni nyumbani

Unaifahamu Tunduma nikuelekeze zilipo za KCB na BOA?
 
Ushoga kwa sasa unanuka kila mahali hakuna mahali Kuna afadhali ,hii tabia imesambaa tokea tanga ,mtwara,geita,morogoro mpaka huko sumbawanga
 
Labda DTB ndio sijawahi kujiona ila hizo zingine zipo kama zote.DTB huenda nayo ipo ila sijajua Iko wapi maana Mimi sio mkazi wa Tunduma japo ni nyumbani

Unaifahamu Tunduma nikuelekeze zilipo za KCB na BOA?
DTB Huwa haiwekezi maeneo maskini yasiyo na mzunguko wa pesa ..na ndio maana huwezi wakuta wana mikopo ya wajasiriamali wadogo ,sijui account zisizo na charges ...,,ni benk ya matajiri na wafanya biashara wakubwa...ukiikuta tunduma niite mbwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha story leta ushahidi

Sent using Jamii Forums mobile app
BOA Iko Sumbawanga road mkono wa kulia mbele kidogo ya Mjini Kati wanaitwa kisimani.

KCB Iko Pale Tanesco/Kilimanjaro ukivuka lami ya mtaa inayoenda Mjini Kati .

Nimekwambia hizo banks ziko siku nyingi sana wakati naishi Tunduma Sasa ni miaka Mingi nimetoka na Mji ulivyokuwa mkubwa bilas shaka banks nyingine kibao zitakuwa na matawi kama DCB na DTB,wanakoishi hapa wanaweza ongeza nyama.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…