Uhuru24
JF-Expert Member
- May 2, 2015
- 4,112
- 4,361
moro sio sana ila sehemu flani udongo wake wa karotiMorogoro napo linapiga eeh?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
moro sio sana ila sehemu flani udongo wake wa karotiMorogoro napo linapiga eeh?
Yani kama wiki hii tunapulizwa hatari..upepo uliochanganyika na vumbi..vigauni vinaruka tuu yani kwa sasa tunavaa tuu skirt za kubana maana unaweza aibika...Dodoma yangu jmn mbn mashati meupe unavaa lkn kuna vumbi nadhan ndo mkoa wa kwanza yan
Serikali iondoe vumbi ?😂😂😂
Inatoa aibu sana serikali yetu inayodai kazi iendelee haifanyi lolote kuondoa haya...
Watakusikia wenzako, urudi ndani ya Mwezi Moja utuambie vumbi sio tatizo tena hayo maeneo umetaja na mengineyo
Tunapaka blueband...Ila dodoma nyie kuna upepo na baridi sijawahi ona. Bahati nzuri nilifikia area D sikuona hata vumbi sikupata bahati ya kutembea kwa miguu ila baridi na upepo watu wa dodoma mtakuwa mmepauka balaa.
Hahahahahahah huko hatari hadi SumaweMbon huko afadhali kunasehemu kama FAO na gongali hiyo usipime
Mbeya umeionea au haujawahi kufika. Ni vumbi la kawaida
Hapo kwenye nguo kupeperuka napo pagumu [emoji3][emoji3][emoji3]gliceline zinasaidia sana kwa sisi wakazi wa huku jaman maana hali n teteYani kama wiki hii tunapulizwa hatari..upepo uliochanganyika na vumbi..vigauni vinaruka tuu yani kwa sasa tunavaa tuu skirt za kubana maana unaweza aibika...
Hii ni miji kumi inayoongoza kwa vumbi nyakati za kiangazi nchini Tanzania. Ukienda huko achana na habari ya nguo nyeupe. Pendelea rangi nyeusi, brown au kijivu.
1. KARATU
2. KASULU
3. KIBONDO
4. BOMANG'OMBE, Hai
5. SONGEA
6. TUNDUMA
7. ORKESMET, Simanjiro.
8. DODOMA
9. MERERANI
10. MTO WA MBU
Tafuta hela tatizo sio vumbi tatizo kipato kidogo hela inafukuza jangwa itakuwa vumbi tafuta hela ifaidi Tanzania maana bila utakuja mikoa yenye joto ,mikoa yenye baridi , tafuta hela uishi popote TanzaniaHii ni miji kumi inayoongoza kwa vumbi nyakati za kiangazi nchini Tanzania. Ukienda huko achana na habari ya nguo nyeupe. Pendelea rangi nyeusi, brown au kijivu.
1. KARATU
2. KASULU
3. KIBONDO
4. BOMANG'OMBE, Hai
5. SONGEA
6. TUNDUMA
7. ORKESMET, Simanjiro.
8. DODOMA
9. MERERANI
10. MTO WA MBU
Siku hizi atleast geita inapendeza sio kama zamaninilikua uko 2012 rami ni ile moja tu inayo toka mwanza vumbi kuanzia mwezi wa 7 lilikua lina piga balaa
Inayo..Hivi ile barabara kuelekea hotel inayomilikiwa na VETA ilishawekwa rami. Maana ilikua inatoa vumbi sio mchezo
Una akili timamu? Kwahiyo watu tulio-comment hapa hatutafuti hela? Acha hiyo tabia ya kuabudu hela ndugu.Tafuta hela tatizo sio vumbi tatizo kipato kidogo hela inafukuza jangwa itakuwa vumbi tafuta hela ifaidi Tanzania maana bila utakuja mikoa yenye joto ,mikoa yenye baridi , tafuta hela uishi popote Tanzania
Na lile vumbi ndo upande daladala la kwenda Oldonyo Sambu ufurahie harufu nzuri ya manukato ya kimasai..Ngaramtoni, Arusha🙌
Kabisaa na pisikali bado Namba moyaaNimetembea karibu nchi zote za SADC na EAC bado mpinzani wa Karatu hajapatikana.
Ni kweli mkuu. Paskalina (Paskii), Katarina, Maria, na kina Awaki... hizo ni pisi kali sana unaweza ukahonga roho.Kabisaa na pisikali bado Namba moyaa
Dodoma iondoe hapo...hakuna mji wowote Tanzania unaofikia Dodoma kwa mtandao mpana wa barabara za lami.Dodoma ukwame wapi kila mtaa lami tupu hadi ndani ndani huko NkuhunguHii ni miji kumi inayoongoza kwa vumbi nyakati za kiangazi nchini Tanzania. Ukienda huko achana na habari ya nguo nyeupe. Pendelea rangi nyeusi, brown au kijivu.
1. KARATU
2. KASULU
3. KIBONDO
4. BOMANG'OMBE, Hai
5. SONGEA
6. TUNDUMA
7. ORKESMET, Simanjiro.
8. DODOMA
9. MERERANI
10. MTO WA MBU
Imetajwa miji sio mikoa....hakuna mji wowote Tanzania unaofikia Dodoma kwenye ubora wa mipangomiji na mtandao mpana wa barabara za lamiDodoma yangu jmn mbn mashati meupe unavaa lkn kuna vumbi nadhan ndo mkoa wa kwanza yan