Miji inayoongoza kwa vumbi Tanzania. Shati jeupe usiende nalo

Dodoma yangu jmn mbn mashati meupe unavaa lkn kuna vumbi nadhan ndo mkoa wa kwanza yan
Yani kama wiki hii tunapulizwa hatari..upepo uliochanganyika na vumbi..vigauni vinaruka tuu yani kwa sasa tunavaa tuu skirt za kubana maana unaweza aibika...
 
Hapo kwenye nguo kupeperuka napo pagumu [emoji3][emoji3][emoji3]gliceline zinasaidia sana kwa sisi wakazi wa huku jaman maana hali n tete
 
Hii ni miji kumi inayoongoza kwa vumbi nyakati za kiangazi nchini Tanzania. Ukienda huko achana na habari ya nguo nyeupe. Pendelea rangi nyeusi, brown au kijivu.

1. KARATU
2. KASULU
3. KIBONDO
4. BOMANG'OMBE, Hai
5. SONGEA
6. TUNDUMA
7. ORKESMET, Simanjiro.
8. DODOMA
9. MERERANI
10. MTO WA MBU

Dodom IPO halafu MBEYA HAIPO, UTANI HII
 
Hii ni miji kumi inayoongoza kwa vumbi nyakati za kiangazi nchini Tanzania. Ukienda huko achana na habari ya nguo nyeupe. Pendelea rangi nyeusi, brown au kijivu.

1. KARATU
2. KASULU
3. KIBONDO
4. BOMANG'OMBE, Hai
5. SONGEA
6. TUNDUMA
7. ORKESMET, Simanjiro.
8. DODOMA
9. MERERANI
10. MTO WA MBU
Tafuta hela tatizo sio vumbi tatizo kipato kidogo hela inafukuza jangwa itakuwa vumbi tafuta hela ifaidi Tanzania maana bila utakuja mikoa yenye joto ,mikoa yenye baridi , tafuta hela uishi popote Tanzania
 
Una akili timamu? Kwahiyo watu tulio-comment hapa hatutafuti hela? Acha hiyo tabia ya kuabudu hela ndugu.
 
Hii ni miji kumi inayoongoza kwa vumbi nyakati za kiangazi nchini Tanzania. Ukienda huko achana na habari ya nguo nyeupe. Pendelea rangi nyeusi, brown au kijivu.

1. KARATU
2. KASULU
3. KIBONDO
4. BOMANG'OMBE, Hai
5. SONGEA
6. TUNDUMA
7. ORKESMET, Simanjiro.
8. DODOMA
9. MERERANI
10. MTO WA MBU
Dodoma iondoe hapo...hakuna mji wowote Tanzania unaofikia Dodoma kwa mtandao mpana wa barabara za lami.Dodoma ukwame wapi kila mtaa lami tupu hadi ndani ndani huko Nkuhungu
 
Dodoma yangu jmn mbn mashati meupe unavaa lkn kuna vumbi nadhan ndo mkoa wa kwanza yan
Imetajwa miji sio mikoa....hakuna mji wowote Tanzania unaofikia Dodoma kwenye ubora wa mipangomiji na mtandao mpana wa barabara za lami
 
Back
Top Bottom