Mikasa/vituko vya lodge

Mikasa/vituko vya lodge

We unaweza kweli kudandia lori baby?
Nadandia vizuri tu mkuu sema hio baby sasa ndio imeharibu👽!!
Kwa usafiri wa Mahenge enzi hizo hasa kipindi cha mvua barabara zilikua mbovu sana afu mabasi yenyewe ya kubip! Sometimes Ni kukaza buti tu kukwea lori hakukuwa na namna!
 
Bora wameweka lami!! Kipindi cha mvua ilikua balaaa ni mwendo wa kudandia fuso tu duh! Kitambo sana!
Kweli wewe ulipita kitambo mie nilikuwa kipande hicho 2014 mpaka 2019...mpaka mwaya kule kuna kilima kimoja matata sana...vgote vina lami....kule shida baridi sana ndio maaana watu wanakulana sana...alafu watu wa kule ngono wala sio dhambi...yaaani easy tu watu kulana mnooo yaani kuke ndio kuna kukulana kimasihara
 
Yeahhh nilipita zamani kidogo...
 
Juzi tumesafiri watu sita kwenda huko Singida ndani ndani kuna sehemu inaitwa Londoni. Imefika muda wa kulaza ubavu tukaona tutafute guest house tutulie, ila ndio tukakutana na kituko hiki. Na kiukweli hatukuwa na namna ikabidi tulipe elfu 8 kwa kila chumba.

NB: Na kimasihara ikatokea na nikala kama kawaida.
[emoji3][emoji3][emoji3]View attachment 2495618View attachment 2495620View attachment 2495622View attachment 2495623View attachment 2495624View attachment 2495625
Aisee hii Tanzania kuna sehemu ni vijijini yan bado sana
 
Kweli wewe ulipita kitambo mie nilikuwa kipande hicho 2014 mpaka 2019...mpaka mwaya kule kuna kilima kimoja matata sana...vgote vina lami....kule shida baridi sana ndio maaana watu wanakulana sana...alafu watu wa kule ngono wala sio dhambi...yaaani easy tu watu kulana mnooo yaani kuke ndio kuna kukulana kimasihara
Kule ukimwi nje nje yani!! Lile baridi sio poaaaa!
 
Back
Top Bottom