Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 67,252
- 168,563
Nadandia vizuri tu mkuu sema hio baby sasa ndio imeharibu👽!!We unaweza kweli kudandia lori baby?
Kwa usafiri wa Mahenge enzi hizo hasa kipindi cha mvua barabara zilikua mbovu sana afu mabasi yenyewe ya kubip! Sometimes Ni kukaza buti tu kukwea lori hakukuwa na namna!