Wakuu wazee wa kubet, kuna strategy moja matata ya kumla mhindi, nimeijaribu mara kadhaa na mafanikio nimeyaona!
Haijawah tokea na haitakaa ikatokea kansaa
Sipo hivyo mkuu,na hata nikiweka kijivu itakuwa sio fear coz nimeomba mwenyewe.Jamvi la kustake KAKI kweli ndo nn??? Si ulitengeneze mwenyewe tu, maana mwingine akikutengenezea utaweka kijivu
watu walishapita huko siku nyingi na mzunguko wa pili tuu unaangukia pua. Tatizo tunaamini odd tulizopewa ndio zinacheza ama timu iliyopewa odd kubwa ni vilema ambao watakubali kufungwa tuu kumbe kila timu ina nafasi sawa ya kushinda na zote zinafanya jitihada kushindaNapenda kuiita DOUBLE STAKE!,
Anza na mtaji wa buku 5 au 10k
1. Chukua game mbili za direct win hasa zingatia uwiano wa odds mfano home win odd 1.25 then away akawa walau 9, basi home uwezekano wa kushinda upo 90%.
Chukua game mbili odds 1.25 x 1.25 =1.5*
Siku ya 1), 1.5x 10000=,15000
Siku ya 2), 1.5x 15000= 22500
Siku ya 3), 1.5x 22500=33750
Siku ya 4), 1.5x 33750= 50625
Siku ya 5),, 1.5x 50625 =75900
Siku ya 6), 1.5 x 75900= 113900
Siku ya 7), 1.5x 113900= 170000*
NB:, siyo lazima udouble stake mara 7, unaweza fanya hata mara tatu au nne ukatoa faida yako iliyopatikana. Na tunalazimika kutumia game mbili badala ya single bet sababu single bet yenye odd 1.5 mara nyingi uwezekano wa kutoa ni mdogo tocammfauti navile vi odd vya 1.2 ambapo kukuangusha inakuwa mara chache sana!,
Zingatia pia kubet home win badala ya away win halafu hakikisha away walau awe na odd 8 na kuendelea.
Ni kweli unachosema lkn mara nyingi odd zinaenda sambamba na matokeowatu walishapita huko siku nyingi na mzunguko wa pili tuu unaangukia pua. Tatizo tunaamini odd tulizopewa ndio zinacheza ama timu iliyopewa odd kubwa ni vilema ambao watakubali kufungwa tuu kumbe kila timu ina nafasi sawa ya kushinda na zote zinafanya jitihada kushinda
Makampuni mengi ukiweka pesa huwezi kuitoa bila kuicheza. So hapo wanataka mpaka ucheze izae ama uliwe ila sio kuitoaWakuu nimetoka ku deposit 1.5 mil kwenye akaunti yangu ya premier, nikaweka mkeka waka_reject, nikaweka tena hali ikawa ileile so nikaamua kuirudisha hela yangu kuja Mpesa...cha ajabu sasa naambiwa siwezi kutoa sababu wameni_block!! Msaada wenu wakuu nahisi kudata hapa
Makampuni mengi ukiweka pesa huwezi kuitoa bila kuicheza. So hapo wanataka mpaka ucheze izae ama uliwe ila sio kuitoa
[emoji91]Leo naruka na mwana View attachment 1075402
Okay, vzuri ila hao customer care yao huwa ya kipuuzi mno ina majibu holelaholela. Nilitoa pesa tokea tarehe 7 mpaka leo sijaipata aiseeNishalitatua, nimechek na customer care
Idadi ya point kwa mgawanyo huuBooking points inamaana gani? Msaada Tafadhali
Dah safiii, website gani wanatabiri game vizuri mkuu??Baada ya kuwa likizo kidogo, mambo safi...1×2 View attachment 1069223
Sent using Jamii Forums mobile app