if cap fits
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 1,477
- 2,089
Mkuu mbona unachezea bahati,hilo litreni ungeligawa kwa timu tano tano si lazima upige tu,uwe unatafuta ods 3+ zatosha
Wanaunjanja wa kula wao tu,mimi nilistuka mapema kwenye basket,wajanja sanaDaa bet pawa ni wachawi kila siku wananifilisi Leo nikaona nibadilishe hali ya hewa nikaenda paymaster nimekula Mikeka miwili jamaa wanaweka timu zote wazi betpawa na meridian wanaficha timu.View attachment 1078535
Nilikuwa natafuta mtaji mkuuu...Mkuu mbona unachezea bahati,hilo litreni ungeligawa kwa timu tano tano si lazima upige tu,uwe unatafuta ods 3+ zatosha
Next time unakuwa makini kidogo sio kila game inakuwa na uhakika sana kama hizo, kwa kutupia mizigo mikubwa some time sio safe,
Tnakimbilia kwakua hakuna kodi lakin ni wiz mtupuWanaunjanja wa kula wao tu,mimi nilistuka mapema kwenye basket,wajanja sana
Huwa wanaangalia game zilizo tata ndo wanaweka,sa kuwapiga inakuwa inshu sana,we angalia sehemu kama 1Xbet ,kula nikugusa tu ila kwa bet pawa ukila hadi unakuwa huamin,na pointi anakuwa anaziminya hadi munakubaliTnakimbilia kwakua hakuna kodi lakin ni wiz mtupu
duuh pole mkuu jana Asemavi katembea na 50k ,kumbe nna ahueni wewe ni 500k? au umeongeza sifuri mkuu[emoji53]jamini nifalijini nimeangukia pua leo 500k imezama na maji
Mfate burnley uone kama hutalia baadaeView attachment 1078565
Arsenal atampiga BurnleyMfate burnley uone kama hutalia baadaeView attachment 1078565
daah manina kwel kubet ni ishu sehemu ukizuia magoli ....inanyesha mvua ya magoli..ukiyaomba sasa hayatokei...!
hahahaha mkuu naongezaje sasa kwa mfanoduuh pole mkuu jana Asemavi katembea na 50k ,kumbe nna ahueni wewe ni 500k? au umeongeza sifuri mkuu[emoji53]