Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Kama kuna mtu anaitaji app ya uwakika ya betting 1000% anicheki ila angalizo kwa siku inatoa odds 2.50 haizid hapo hii nazan inafaa kwa wale wenye mitaj mikubwa. Pia kwa wale wanaoitaji ht ft zipo, angalizo inatoa mechi 3 kwa siku moja au mbili lazima zitiki kila mechi inakuwa na odds 5 pia mara nyingi zinatik zote, na kwa wale wa correct score pia ninay app uwa inatoa pia inazngua ila haiwez pitisha siku mbili bila kutoa. Mwenye kuitaj anichek. NB: ukinichukulia poa ukizan me tapeli poa ukiuliz maswal yasio na vichwa poa
 
Naona account imenona mzeebaa..zitoe acha mtaji tu,usipende kuacha pesa nyingi kwenye hizi kampuni unaweza amka kesho ukakuta kampuni haipo[emoji3][emoji3]
nimetoa mkuu, nimebakiza elfu 5 ya kenya, napamba na volleybal live hapa women, Poland vs Italy
 
Nisaidie pale ninapohamisha kutoka safaricom kuja mpesa naandikaje namba ni kama kamawaida au kuna fomati maalum
unaenda menu ya mpesa kenya, unaenda lipa na mpesa, utaingiza bussness number 255255, utaambiwa ingiza account number, utaandika 2557.............. namba lako la voda tz
 
Kwann usizitupie humu ili kila MTU mwenye uhitaji aipate kuliko kukufwata pm ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…