Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

wapambani naomba kuuliza ktu. et kuna uwezekano wa kudepost pesa kwenye wallet ya perfect money kwa kutumia mpesa MasterCard??.
 
Jana niliweka bet nikajua naamka na hela ya supu, cha ajabu nakuta CANCELLED lakini nimechungulia LIVESCORE nimeona match iliisha na ES TUNIS walibeba ndoo.

Nisaidieni mliotazama match, nini kilitokea au hawa BETPAWA wana ka utapeli?
 
Mechi haikuisha hii wydad waligomea kuendelea na mechi dk 62 baada ya goli lao la kusawazisha kukataliwa
Esperance walipewa ubigwa wa mezani
 
Utaratibu wa Betpawa OvYo sana Yaan mechi cancelled ndio wanatoa odds zote atleast wangepunguza odds imenitokea hii pia kwny mkeka wng kutoka ku win 300k mpk 100k Ovyo sana
 
Mechi haikuisha hii wydad waligomea kuendelea na mechi dk 62 baada ya goli lao la kusawazisha kukataliwa
Esperance walipewa ubigwa wa mezani
Ubingwa wa Mezani..!!?.ina maana matokeo yamefutwa...na inakuwa point tatu na magoli ya mezani sio...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…