Kiukweli nna laki moja lakini nashindwa nibeti vipi. Mara ya mwisho nilipigwa laki nikasema msimu huu sibeti tena. Leo roho hainipi natamani niweke over 0.5 first half lakini nasita tu.
Hii nyeupe zaidi...
Hii nayo ni option nzuri sanaa kuiaminia. Sioni kwangu nataka nitupie laki na mimi.Hizi mechi za finali mi huwa sipendi kucheza magoli maana sometimes huwa wanakamiana unakuta goli linapatikana dakika za mwisho hko,mimi personally nimetupia laki 2 kwenye mchezo wa Card under 5.5 cards liwalo na liwe..
Hii option nimekubali! [emoji119]
Aisee ulijichimbia sana ndugu yako sungusungu amekukumbuka sana[emoji23][emoji23][emoji23]
Nimeenda na hii ndugu. Saivi ni kuangalia burudaniSubstitution under 5.5.
Kama hutaki kukaa na pressure dk 90+ weka no throw in dk 1
Kona leo chache sana
Najilipua under 4.5 1h
Pole mkuu zipo 2/3 dk 34
ImoooYellow card under 0.5
Tusubiri kipindi cha pili cha kwanza naona kimeenda poaHii nyeupe zaidi...
Game zenye tensions kubwa kama hizi mara nyingi sana 1H wanakua makini kunakua hakuna sana kadiAll cards in one hafu ilikuwa na odds 5.7
mbona inagoma kuopenNaomba link PM mkuu
BET WON