Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Jamani msaada plz, Kwa wanaotumia Safar com, nimetaka Kutoa Mzigo 1xbet, wananiambia nijaze personal profile, je nyie mmefanyaje au mmejaza VIP Kwenye ID
 
I'd unajaza taarifa zako sahihi kama zinavyosomeka kwenye nida yako
Jamani msaada plz, Kwa wanaotumia Safar com, nimetaka Kutoa Mzigo 1xbet, wananiambia nijaze personal profile, je nyie mmefanyaje au mmejaza VIP Kwenye ID
 
Booom kwa leo inatosha with 20000 nimetengeneza 90000 kama profit leo with basketball live betting.
*** football sirudi tena maana ilikuwa inamionea
 
Jamani msaada plz, Kwa wanaotumia Safar com, nimetaka Kutoa Mzigo 1xbet, wananiambia nijaze personal profile, je nyie mmefanyaje au mmejaza VIP Kwenye ID
Hahahaaa hapo ndo kasheshe mkuu hy line kama ulisajili kwa kitambulisho chako tu ndo utaweza kutoa hiyo Feza tofauti na hapo hesabu hiyo imeshapotea

Hawa jamaa si mchezo kabisa ukiona wanakuomba hivi details zako au documents ujue kuna kitu wameshtukia

Niliwahi kusumbuliwa na hawa jamaa ilibaki kidogo tu niwatukane na niachane kabisa na akaunti yenyewe lkn roho iksita nikakomaa sana mpaka wakaniruhusu kutoa mpunga
I swear hyo pesa andika umepoteza tu kiongozi maana huna namna unaweza kuitoa bila kuthibitisha taarifa zako
 
Anzeni kitumia skrill
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…