mtafuta-maisha
JF-Expert Member
- Nov 5, 2016
- 1,982
- 2,934
Wafilipino ni mwendo wa Over
Mkuu 1xbet wana mkataba na kwenye akaunt siyo kwenye lainiHahahaaa hapo ndo kasheshe mkuu hy line kama ulisajili kwa kitambulisho chako tu ndo utaweza kutoa hiyo Feza tofauti na hapo hesabu hiyo imeshapotea
Hawa jamaa si mchezo kabisa ukiona wanakuomba hivi details zako au documents ujue kuna kitu wameshtukia
Niliwahi kusumbuliwa na hawa jamaa ilibaki kidogo tu niwatukane na niachane kabisa na akaunti yenyewe lkn roho iksita nikakomaa sana mpaka wakaniruhusu kutoa mpunga
I swear hyo pesa andika umepoteza tu kiongozi maana huna namna unaweza kuitoa bila kuthibitisha taarifa zako
mkuu mkongo kwao yp njemaperth sc watapata hata goli kweli?
Welcome, hapo hata kama ulitupia mtaji wa kuanzia 300K nakuendelea basi si habaAkhsante sana Mzee baba
Mkuu jukwaa ili halichangamki kama zamani kwa hiyo hata mimi huwa naingia kwa kuibia ibiaMzeee baba upo?adimu sana
Aaah aaah subiri mrejesho nimeshafanikiwa mikeka 33.Calculated risk
Subiri bonas mkuu... Mambo yakienda good ntaleta formula niliyoitumia maaaana sielew kama itakuwa sahihi.Share nasi hapa mkuu haswa
Nataman saana kuelewa hii formula kwa bet pawa ila sasa dah basket sijawah hata kugusa... Sina a wala b...Basketball hainitupi nlianza siku vbaya kwa tamaa za kubet ligi za kipuuzi nikaliwa ila nimerekebisha wafilipno hawajawahi kunitupaView attachment 1133541
mkuu vipi umefanikiwa kuwthdraw mpunga wako? Hapo kwenye ID unatakiwa ujaze namba ya kitambulisho ambacho ni cha Kenya mkuuJamani msaada plz, Kwa wanaotumia Safar com, nimetaka Kutoa Mzigo 1xbet, wananiambia nijaze personal profile, je nyie mmefanyaje au mmejaza VIP Kwenye ID
Cha Kenya mkuu??mkuu vipi umefanikiwa kuwthdraw mpunga wako? Hapo kwenye ID unatakiwa ujaze namba ya kitambulisho ambacho ni cha Kenya mkuu
mm nilijaribu kujaza cha kura cha kibongo kikakataa nilipoweka ID ya kenya ilikubali, au wewe ulishajaribu kikakubali?Cha Kenya mkuu??
YesNisaidie link ya kupata app ua 1xbet na je vipi ninaweza tumia skrill deposite
Line za safari com zinakuja zikiwa zimesajiliwa na ID za kenya hivyo hata akaunti inakuwa imatumia majina hayo ya vitambulisho vilivotumika kusajiliMkuu 1xbet wana mkataba na kwenye akaunt siyo kwenye laini