Play MasterNi webiste Gan ya bongo inaweka mech nyiingi jmn msaaada,
Wasiliana na wahusikaHabari nime withdraw pesa toka bet365 kuja visa card yangu ya BANC ABC tangu tarehe 21 lakini haijaingia kwenye akaunti kama kuna aliyewahi pata tatizo hili anisaidie jinsi ya kutatua pesa ya Kwanza niliwithdraw Bila shida nika pata ndani ya siku mbili hii inachukua zaidi ya wiki sasa
play single
asia cup (afc)
Minerva Punjab v Dhaka Abahani
both team to score (gg) odd 2+
extra
cs 1 - 1 odd 6+ ft X odd 3+
WOOON...Tukutane kwa wakalaNigeria over 0.5
kuangalia kama ni first 1quarter au ni second ingia www.sofascore.com/basketballWadau msaada tutani wale wa kikapu.... Hivi kwa mfano betpawa.. Unatambuaje kuwa hii ni 1quarter na hii ni 2nd q..
Maaana naona zinaenda enda tu hakuna ishara zozote nishi kwa kukadiria dakika bila kujua added time ni ngap.
View attachment 1139272
Poa ngoja niendelee kuvuta subiraWasiliana na wahusika
Pia kumbuka yaweza tumia hadi siku 7 za kazi
kuangalia kama ni first 1quarter au ni second ingia www.sofascore.com/basketball
Hivi kweli uliweka pesa?LOST ZOTE POOR WHATSAPP GROUP KAJIPANGE UPYA
Lete machale Mzee baba#AfconNiZamuYetuKupataMafao
Mwenye file(app) ya playmaster (apk) naomba anisaidie kwa kuliupload hapa, au kwenye Whatsapp yng +255744143582. maana hii simu yangu ni version ya jelly bean, inashindwa kuaccess website ya play master, kwahiyo hata kudownload app yao inakua ngumu. Natanguliza shukrani
Mkuu Afcon hakuna machale nikupiga hesabu tu, mpaka sasa hakuna mechi ya Afcon ambayo imetoka zerozero, mtu unakuta mechi iko dakika ya 60 ubao unasoma 0-0 unashindwaje kutega ndoano na kusubiria samaki.Lete machale Mzee baba
Kweli..naona Uganda kakaliwa kooni..ngoja tuone second half..Mkuu Afcon hakuna machale nikupiga hesabu tu, mpaka sasa hakuna mechi ya Afcon ambayo imetoka zerozero, mtu unakuta mechi iko dakika ya 60 ubao unasoma 0-0 unashindwaje kutega ndoano na kusubiria samaki.
Kama hiyo nilishamalizana na uganda mapema tu mm nilitaka apate goli moja.Kweli..naona Uganda kakaliwa kooni..ngoja tuone second half..